Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

Kuugua ni jambo la kawaida, lakini kuficha unachougua ni si jambo la hekima

Nakubaliana na ww mkuu na hilo ndilo kosa wafanyalk hawa wa Mahaba Niue tena nahis hakuwepo Tunduma ila ni hasira zake tu...ukweli vipaza saut vilianza kugoma alipopanda LAWRENCE MASHA hata kabla Lowasa hajaingia uwanjani
Ila hiyo hibadili ukweli kuwa yule mzee ni mgonjwa na kwa maana ya kazi ya URAIS zilivyo ngumu hara fikra na afya vyapaswa kuwa vizur
KWA NINI TUJARIBU KWENYE JAMBO NYETI KAMA HILO??
 
Teja lilizidiwa nguvu na ova dozi. Kila kitu kikaganda mpaka ulimi.
 
Kumchaagua Lowasa yahitaji uwe na ubongo usiofikiria usiojitambua na uongozwe na mahaba yale yaliyochagizwa na limbwata lakini kwa akili ndogo tuu ya infant aliezaliwa leo hawezi kuthubutu
 
Huyo anaesema gwaride ni hivi bora tuwe na rais ambae hawezi kukagua magwaride ili yapungue mana na hayo ni sehemu ya ufujaji wa pesa za uma
 
duu! inafurahisha mnajipiga dole nyinyi wenyewe kwenye makalio afu mnanusa eti linanukia nin?npo tunduma na kwenye mkutano nilikuwepo na alizungumza mkutana haukuahirishwa! tafuten propaganda nyingine hii imedoda! na pia haya ni matumiz mabaya ya bando za lumumba!

Ndugu,ina maana hata itv huwa huangalii?mbowe kaongea kabisa tena akatoa hata ishara fulani hivi.aliongea kwa ukali kweli na kusema leo watakuja a mitambo mipya.Tuwe wakweli
 
Ishu ni kwamba hawakukagua mitambo kabla ya mkutano kuanza? Ni mara ya ngapi wanahairisha kisa sababu hiyo hiyo...ukweli ni kwamba kuna zaidi ya microphone. Watu wameona mzee hali tetee...
 
Baada ya kushuka kwny gar uwanjani nasema ukweli HATA KUTAMKA NENO ASANTE HAKUFUMBUA KINYWA..ALOKUWA ANAONGEA ONGEA NI MKE WAKE STRATEGICALLY KUPOTEZEA ASIHISIWE MZEE LOLOTE..Yani tangu aliposhuka Tunduma hadi ameondoka HAKUFUNGUA KINYWA!!Kama yupo humu alokuwepo uwanjani akanushe...yule mzee akapumxike tu
NA NGOJA NIWAFUMBUE AKILI WANA UKAWA TUNDUMA...Lowasa hatafanya tena mkutano hapa KWA TAARIFA YENU LEO YUPO SAMIA SULUHU NA ANAANZIA KULEKULE KAMSAMBA MOMBA KISHA ITAKA MBOZI KISHA HAPA TUNDUMA..Mziki ule ule wa kinana upo na leo...tayar ratiba ni ya mtu mwingine hawezi kuingilia Lowasa..Mbowe aliwapoza hivyo ili kupunguza hasira zao ila HABARI NDO HIYO
 
Ngoja ifike mida ya jioni kuanzia saa 10 hivi nikishaweka ndovu kadhaa kichwani nitakujibu huo upuuzi uliouleta hapa!!nani kakwambia ili nimpe kura lowasa mpaka nimsikie akihutubia??hivi kwa sasa unaweza kubadilisha maamuzi ya kumpigia kura mtu kwa sababu hujamsikia akihutubia?Lowasa hata asingeongea kabisa kipindi hiki cha kampeni bado watu watampigia kura!

Watampigia wenzako na wewe sio watu wenye akili timamu..sasa kama mpaka ulewe ndio uweze kujenga hoja we unajiona mzima kweli?
 
Mkatae kujadili mjadili watz tuna mapungufu .Wakati mbowe anawaambia wamsikilize wanakataa kuna kitendo alikifanya cha matusi mbona hamkizungumzii?Mnaongelea vyombo na lowasa tujitafakari na kura zetu.Huwezi kuwatukana wapiga kura wako,nawaombeni fuatilia pale alipokuwa anasema mgombea uraisi aondoke wanapiga kelele.Kuna kitu alikionyesha mnipe tafsiri yake.
 
Baada ya kushuka kwny gar uwanjani nasema ukweli HATA KUTAMKA NENO ASANTE HAKUFUMBUA KINYWA..ALOKUWA ANAONGEA ONGEA NI MKE WAKE STRATEGICALLY KUPOTEZEA ASIHISIWE MZEE LOLOTE..Yani tangu aliposhuka Tunduma hadi ameondoka HAKUFUNGUA KINYWA!!Kama yupo humu alokuwepo uwanjani akanushe...yule mzee akapumxike tu
NA NGOJA NIWAFUMBUE AKILI WANA UKAWA TUNDUMA...Lowasa hatafanya tena mkutano hapa KWA TAARIFA YENU LEO YUPO SAMIA SULUHU NA ANAANZIA KULEKULE KAMSAMBA MOMBA KISHA ITAKA MBOZI KISHA HAPA TUNDUMA..Mziki ule ule wa kinana upo na leo...tayar ratiba ni ya mtu mwingine hawezi kuingilia Lowasa..Mbowe aliwapoza hivyo ili kupunguza hasira zao ila HABARI NDO HIYO

Hahaaa atarudi tarehe 25.10.2015 asubuhi ya saa tatu...lol..
 
Acha Upumbavu ,hv Ww Unaish Dunia Gani,unaebisha Kuwa Kahu2bia,kwa Kifupi Hajahutubia Ka Xababu Tajwa Hapo,na Mm Nilkuwepo,mara Baada Ya Kutua,kwenye Uwanja Mdogo(nyuma Ya Highclass Hotel,majengo),alisafirishwa Kwa Gar Kabla Hata Hajafka Eneo La Jukwa Mitambo Ilizma,na Wakat Inazma Bahati Bukuku Na Flora Mbasha Ndo Walikuwa Wametoka Kushuka Jukwaani,kwa Upande Wangu Cjajua Nn Kpo Nyuma Ya Pazia,nna Wasiwasi Kama Wenzangu,,maana Tangu Asubh Vyombo Havikusumbua Hata Chembe,mpaka Wasanii Wote Wametoa Yao,why Wakati Wake?

Ile janja ya kuzimia ilibumburuka sasa imekuja hii ya vyombo kubuma..Umemtaja Bahati Bukuku kuna kitu kinaendelea hapo kwa huyo muimbaji wa Injili ngoja nitulie nirushe ubuyu
 
Watampigia wenzako na wewe sio watu wenye akili timamu..sasa kama mpaka ulewe ndio uweze kujenga hoja we unajiona mzima kweli?

Siku saba zilizobaki bado unataka hoja juu ya kumchagua lowasa au la!!isitoshe hoja yako imekaa kilevi ndo mana sihitaji kukujibu nikiwa mzima ni kupoteza madini yangu kichwani muda wa hoja umeshapita tunasubiri kupiga kura tu...wewe endelea kujenga hoja sisi tunasubiri kumuapisha lowassa awe rais wa tanzania!!kama umeshindwa kujenga hoja miezi miwili utaweza ndani ya wiki moja??
 
Back
Top Bottom