Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

Ila mzee yupo fit pamoja na uchovu wa hapa na pale!! Ngoja tumsikie leo maana urais anautaka hata akiwa bubu.
 
Km kweli unampenda Mungu ambaye anajua yako yote ya Rohoni,eleza ukweli wa mambo na cyo kupindisha hoja ili uonekane ni mkweli. Vifaa vilibuma wakati Lowasa anataka kuhutubia au wakati Masha anataka kuhutubia? Kwakuwa umesema unampenda Mungu na hupendi kumdanganya,SEMA UKWELI

Mbowe lakini alikuwa anasikika!
Aliposema kuwa raisi aachwe aondoke, uwanja wote ulisema "ahaaaa" kwa pamoja hii ni ishara kuwa taarifa iliufikia umati at par!
Na alipoendelea " sikiliza!...Raisi atarudi kesho asubuhi kuhutubia hapahapa" umati ukalipuka kwa kumshangilia kwa pamoja!
Hii maana yake ni kuwa Mbowe alikuwa anasikika vema na watu wote pale uwanjani!
Acheni kuhadaa watanzania!
Huyu raisi akienda UN na sekunde zake 2 tutasikilizwa kweli?
Raisi ataweza kujenga hoja katika jumuiya ya Africa mashariki na kuwakimbiza kina kagame na Uhuru wanaotaka kutudominate?
Tafakari, chukua hatua
 
Hivi kwa nini Mbowe hakumkabidhi mgombea zile microphone alizotumia kuahirisha mkutano ili aongee na wapiga kura?
 
Mi sijaelewa hata unazungumzia nini naona umeandikia mwenyewe na kujijadili mwenyewe!

Sent from my BlackBerry 10 using JamiiForums
Some time ukiwa mjinga kuelewa kazi sana mwambieni Lowasa kunavitu huwezi kuvificha mungu huweka wazi tu.
 
By HALELUYA MOSHI:
Sio kweli jaman!
Lowasa kahutubia na kashasepa! Idawa alikuwa anawavuta akili tangu asubuh hapa ili jioni awavunje moyo! HALELUYA MOSHI njoo huku,

Mzee yuko poa kabisa!

Acha Upumbavu ,hv Ww Unaish Dunia Gani,unaebisha Kuwa Kahu2bia,kwa Kifupi Hajahutubia Ka Xababu Tajwa Hapo,na Mm Nilkuwepo,mara Baada Ya Kutua,kwenye Uwanja Mdogo(nyuma Ya Highclass Hotel,majengo),alisafirishwa Kwa Gar Kabla Hata Hajafka Eneo La Jukwa Mitambo Ilizma,na Wakat Inazma Bahati Bukuku Na Flora Mbasha Ndo Walikuwa Wametoka Kushuka Jukwaani,kwa Upande Wangu Cjajua Nn Kpo Nyuma Ya Pazia,nna Wasiwasi Kama Wenzangu,,maana Tangu Asubh Vyombo Havikusumbua Hata Chembe,mpaka Wasanii Wote Wametoa Yao,why Wakati Wake?
 
Last edited by a moderator:
We mwehu huwezi kukurupuka yu eti umampa aongee tatzo elimu protocol haziko hivyo we uende usiende si tushaamua saa tatu tutakuwa hapo na utaona kama sikusikia
 
Hivi kwa nini Mbowe hakumkabidhi mgombea zile microphone alizotumia kuahirisha mkutano ili aongee na wapiga kura?

Ndipo hapo degree ya Sanaa inapojionyesha sasa. Labda Tumbo lilikoroga akaenda nanilii kuuuubwaa
 
duu! inafurahisha mnajipiga dole nyinyi wenyewe kwenye makalio afu mnanusa eti linanukia nin?npo tunduma na kwenye mkutano nilikuwepo na alizungumza mkutana haukuahirishwa! tafuten propaganda nyingine hii imedoda! na pia haya ni matumiz mabaya ya bando za lumumba!
 
Hapo kwa kweli mwongozaji alikosea.Inajulikana Wagombea wana ratiba ngumu kama alikuwa hajisikii vizuri kuhutubia say it.alikuwa ametokea mwanza (long trip).Fatique kitu cha kawaida mbona?
 
Jamila omari hapa ch10 kaelezea vizuri sana na nyomi ni la kufa mtu. Mitambo imeletwa mara 2 yote ikagoma. Mkutano unarudiwa kesho saa 3 asbh na wanatunduma wamekubaliana vizuri tu

Ch10 Wamepotosha Umma Kama Wamesema Hata Mitambo Ilyoletwa Mara Ya Pili Iligoma,sio Kweli,ya Pil Ilikuwa Haina Uwezo Wa Kuwafanya Watu Wasikie Na Ndo Ilyotumiwa Na Mbowe Kuahrisha Mkutano,hadi Naondoka,mitambo Hyo Ilkuwa Iktusindkza Kwa Muziki,kwa Uwezo Wake,gari Hlo La Matangazo Lililobeba System Hyo Limeandikwa "lakitumishi"
 
Acha Upumbavu ,hv Ww Unaish Dunia Gani,unaebisha Kuwa Kahu2bia,kwa Kifupi Hajahutubia Ka Xababu Tajwa Hapo,na Mm Nilkuwepo,mara Baada Ya Kutua,kwenye Uwanja Mdogo(nyuma Ya Highclass Hotel,majengo),alisafirishwa Kwa Gar Kabla Hata Hajafka Eneo La Jukwa Mitambo Ilizma,na Wakat Inazma Bahati Bukuku Na Flora Mbasha Ndo Walikuwa Wametoka Kushuka Jukwaani,kwa Upande Wangu Cjajua Nn Kpo Nyuma Ya Pazia,nna Wasiwasi Kama Wenzangu,,maana Tangu Asubh Vyombo Havikusumbua Hata Chembe,mpaka Wasanii Wote Wametoa Yao,why Wakati Wake?

Sawa mwache yeye aache UPUMBAVU ila wewe uuchukue UPUMBAVU! Wa kuamini kuamini kuwa mitambo ilizimwa kwa makusudi. Tukutane jumapili ijayo saa nne usiku..
 
Ch10 Wamepotosha Umma Kama Wamesema Hata Mitambo Ilyoletwa Mara Ya Pili Iligoma,sio Kweli,ya Pil Ilikuwa Haina Uwezo Wa Kuwafanya Watu Wasikie Na Ndo Ilyotumiwa Na Mbowe Kuahrisha Mkutano,hadi Naondoka,mitambo Hyo Ilkuwa Iktusindkza Kwa Muziki,kwa Uwezo Wake,gari Hlo La Matangazo Lililobeba System Hyo Limeandikwa "lakitumishi"

Kumbe nimegundua unapenda kusindikizwa kwa muziki!!!!!!!!!!
 
Mlielezwa, mkaambiwa, mkashauriwa, mkaelimishwa, mkatangaziwa, mkaulizwa, mkataarifiwa, mkanong'onezwa na bado mkabisha! Hakika hamtawatangulia wale waliokufa kichama na waliosaliti awali kuisikia parapanda ya Magufuli ambayo itatuunganisha na sisi tuliohai kwenda kumlaki yeye magogoni. Na hapo ndiyo kilio na kusaga meno kwa Mmawia na Ocampor for
 
Back
Top Bottom