Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

Nyie wapuuzi mmeshashindwa kabla ya uchaguzi!

Hapo nimetoa mfano tu! Si mnamuita LOWASSA mgonjwa na kumtukana kila aina ya matusi? mbona bado yupo?
Na hao mnawaona kuwa ni wazima ndio wanatangulia mbele ya haki! Jifunzeni hili wapuuzi nyie! vinginevyo mtamtafuta mchawi na msimpate!

Wewe mjinga uwe unatumia akili.

Kwahiyo hata Mtoi na mzee Makaidi nao walimtukana mzee wenu?

imebaki wiki moja tu ya kula posho za mzee wenu.



 
Nasikia jana alikosa nguvu za kuongea mkasingizia mic.

Mwaka huu mtajuta kumuacha Dr Slaa.
Usaliti wenu kwa Dr majibu ni hapahapa.

Mgombea wenu hajiamini anaogopa hadi waandishi wa habari.

Duniani wenye kuogopa midahalo huwa ni walioko serikalini lakini nyie mgombea wenu ataingizwa kwenye GW book of records kwa kuwa mpinzani wa kwanza kuogopa mdahalo.
 
Halafu kwa taarifa yenu!
Rais yuko huko anahuzunika na waliopoteza maisha! Nyie mnawaza majukwaa tu mda wote!
 
duu! inafurahisha mnajipiga dole nyinyi wenyewe kwenye makalio afu mnanusa eti linanukia nin?npo tunduma na kwenye mkutano nilikuwepo na alizungumza mkutana haukuahirishwa! tafuten propaganda nyingine hii imedoda! na pia haya ni matumiz mabaya ya bando za lumumba!

Pole sana..........!!!!!!!!!!!
 
Thread ya kinafiki

hawana kazi Mkuu na hizo ni dalili za kushindwa.

magufuli alishakata tamaa na hawa vibaraka usishangae wanajikombakomba kama ma.la.ya ili wapate japo mkate wa siku.
 
Hapo sasa
 

Attachments

  • 1445192985669.jpg
    1445192985669.jpg
    57.3 KB · Views: 1,685
Ocampo four tafadhali sana wanaJF wanasubiri kwa hamu kuona picha ya mainjinia wa Ukawa wakiwa 'site' hapo Tunduma kuhakikisha vipaza na vinasa sauti vinafanya kazi asubuhi ya leo ili mgombea wenu atoe japo salamu tu.
Mr Chin pia tusaidie kupata picha hii kama inawezekana.

Toka zako hapa ni lowasa hakuweza kufanya tendo la kuongea. He better go home your babu.
 
Last edited by a moderator:
Mwaka huu CCM, mna kazi ya ziada. Poleni sana, tumeshaaamua LOWASSA awe Rais wetu, hila zozote za kuzuia hili kusudi la MUNGU, hazitafanikiwa!!!
 
Ocampo four tafadhali sana wanaJF wanasubiri kwa hamu kuona picha ya mainjinia wa Ukawa wakiwa 'site' hapo Tunduma kuhakikisha vipaza na vinasa sauti vinafanya kazi asubuhi ya leo ili mgombea wenu atoe japo salamu tu.
Mr Chin pia tusaidie kupata picha hii kama inawezekana.

Kila tunapozidi kukaribia uchaguzi, ile pete inazidi kubana na kuishiwa nguvu
 
Last edited by a moderator:
Nasikia huko Tunduma mkutano wa luwasa ni kesho...sijui atakua ameimarik afiaaaa
 
Back
Top Bottom