Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

Mpaka aibu.

Sio aibu kuugua. Ila ni aibu kubwa kumchagua mgonjwa wa kias kile kuwa amiri jeshi mkuu wa nchi hii.

Huyu apumzike.

Matatizo ya nchi hii si tu yanataka rais msafi, mwenye nia na uwezo wa kutatua matatizo yetu lakini pia yanataka rais mwenye afya njema.

Anatakiwa rais ambaye yuko fit kuweza kusafir huku na huko akijionea mwenyewe mambo ya kimaendeleo yanavyo kwenda nchini

Apumzike tu. Urais hata uweza.
 
[h=3]
10414580_915065635196845_4581112242480472502_n.jpg
[/h]
12065479_915065595196849_2155704828249543565_n.jpg

12088100_915065618530180_7104094341283245232_n.jpg

Ukawa na mafuriko ya kutengeneza huko Tunduma Leo. hatofautiani na kokoto zikipelekwa site.

Hupajui tunduma tuli ww mr chick
 
Yule mzee aliishiwa pumzi tangu akiwa eneo moja linaitwa Kamsamba...kisha Itaka Mbozi
Alipofika hakuwa na nguvu za kuongea tena..hata kushuka kwny gari alichukua zaid ya dakika tano kushuka na hata kupanda jukwaani alipigwa jeki na akiwa amebanwa na mtu karibu kama vile majeshi wanavyofanyaga paredi....
Hiyo ilitumika kama mbinu kuondoa AIBU na ingekuwa aibu saaaanaaa...wenye akili wamesoma katikati ya mistar...nilikuwepo na nasema ninachokijua.....baada ya kuletwa gari la matangazo la Momba music ambalo hutumika siku xote hapa Tunduma ndo wakaamua kuahirisha maana walijua hawatasema pia ni mitambo mobovu...
UKWELI UBAKI UKWELI MZEE YAMEMFIKA SHINGONI NI MGONJWA KWELI NA SIJUI ATAKAGUAJE GWARIDE NA VINGINE KAMA HATA KUTEMBEA ANAWEKA UNYAYO ANAPOTOA MLINZI WAKE..SIJUI WATAKAGUA WOTE????

Mjinga mmoja anashabikia gwaride wakati shule anayosoma mwanae haina choo. Unajua gharama ya gwaride wewe au unaongea kikikekike tu hapa mbele ya wanaume!?
Hilo ndiyo maana tunaichukia ccm kwa kuendekeza vitu vya kipuuz na kuacha vyenye maana. Bwabwa we.
 
Leo kakimbia mdahalo .....alafu nyie mnaosema mnachotaka ni kuitoa tu CCM ....kama mlikuwa na hasira hizi na mnaamini kura zenu zinatosha kwanini msingewasii akina Mbowe walete mgombea safi? Maana mnasema acha EL hata lingesimamishwa jiwe bado mngechagua jiwe ....hii ni akili au kufata mkumbo tu ....mchagueni EL awe mwenyekiti wa CDM basi baada ya uchaguzi kama mnaamini ni kiongozi mzuri sana tuone ...
 
Tujadili hili pls?

Lakini fikra zangu.

"Me nampenda mungu maana ni muaminifu, anafichua yale yote yanayofanywa sirini, haya sasa, wana tunduma mmeona kwa macho yenu, mmesikiliza mziki mwanzo mwisho, alafu by the time anatakiwa kuongea mzee tu mnaambiwa vimeharibika, that is a cheap reason kutolewa kwa mtu/chama kinachotaka kuongoza nchi, wakat wwngine wote wametumia vyombo hivyoo...na mmetangaziwa mkutano kesho kwa vyombo hivyo hivyo."

Karibuni.

Umetumwaaaaaaaaa
 
Mjinga mmoja anashabikia gwaride wakati shule anayosoma mwanae haina choo. Unajua gharama ya gwaride wewe au unaongea kikikekike tu hapa mbele ya wanaume!?
Hilo ndiyo maana tunaichukia ccm kwa kuendekeza vitu vya kipuuz na kuacha vyenye maana. Bwabwa we.

Kimsingi hukutakuw kutukana nilitegemea ujibu hoja kama ulikuwepo...nimekwambia alikuwa amebanwa katikati kama narudia "kama" wanajeshi wanavyobanana kwny magwaride ...nikahoji ili awe rais ataapishwa kisha atakagua gwaride...je ATAONGOZANA NA MLINZ MGUU KWA MGUU KTK KUKAGUA KITU AMBACHO NI MAKOSA?
My take:Afya ya mzee ni mbovu...sasa wewe mwenye akili matus ya nini hapo?? AU NDO MAHABA NIUE?? Kumbuka pia hixo shule unazoshadadia hataweza kuanza utekelezaji wake bila kuapishwa...sasa mtu asiye weza kutembea peke yake atasimamia akiwa kitandani??
Ushauri wangu..MPENI TU MKONGOJO AJULIKANE ALIVYO ILI KAMA NI KURA TUMPE TUKIJUA HALI YAKE HALISI NA SIYO MAIGIZO KAMA MZIMA VILE KUMBE NI WA VIDONGE MUDA WOTE
 
Kwa mujimbu wq blog ya chadema alikuwa na mikutano tangia asubuhi Vywawa, Mbozi na Momba. Je, na huko alishindwa kuhutubia?

Aliishiwa pumzi, ndio maana vipaza sauti hivyo hivyo vikatumika kuwaeleza wananchi kwamba havitoi sauti.

Kwani huko Mbozi na Vwawa alisimama jukwaani kwa sekunde ngapi?
 
nimeona na kusikia channel 10 vyombo vimebuma kesho saa tatu ataongea , ni kweli kwa umri na afya yake na kwa ukubwa wa mkutano hangeweza kuhutubia bila vyombo. Huu uzi uunganishwe kwenye uzi wa mkutano tusijaze seva

SI WANAJIITA WA..PU...MBA...VU ni kweli hawawezi kufikiria....mtu anaongea dakika 3 shida ipo wapi?nachojua atakuwa ali-stack mdomo kama kawaida yake....by the way namuombea sana awe na afya njema
 
Tujadili hili pls?

Lakini fikra zangu.

"Me nampenda mungu maana ni muaminifu, anafichua yale yote yanayofanywa sirini, haya sasa, wana tunduma mmeona kwa macho yenu, mmesikiliza mziki mwanzo mwisho, alafu by the time anatakiwa kuongea mzee tu mnaambiwa vimeharibika, that is a cheap reason kutolewa kwa mtu/chama kinachotaka kuongoza nchi, wakat wwngine wote wametumia vyombo hivyoo...na mmetangaziwa mkutano kesho kwa vyombo hivyo hivyo."

Karibuni.

Ngoja ifike mida ya jioni kuanzia saa 10 hivi nikishaweka ndovu kadhaa kichwani nitakujibu huo upuuzi uliouleta hapa!!nani kakwambia ili nimpe kura lowasa mpaka nimsikie akihutubia??hivi kwa sasa unaweza kubadilisha maamuzi ya kumpigia kura mtu kwa sababu hujamsikia akihutubia?Lowasa hata asingeongea kabisa kipindi hiki cha kampeni bado watu watampigia kura!
 
Kuugua ni jambo la kawaida, lakini kuficha unachougua ni si jambo la hekima
 
Tujadili hili pls?

Lakini fikra zangu.

"Me nampenda mungu maana ni muaminifu, anafichua yale yote yanayofanywa sirini, haya sasa, wana tunduma mmeona kwa macho yenu, mmesikiliza mziki mwanzo mwisho, alafu by the time anatakiwa kuongea mzee tu mnaambiwa vimeharibika, that is a cheap reason kutolewa kwa mtu/chama kinachotaka kuongoza nchi, wakat wwngine wote wametumia vyombo hivyoo...na mmetangaziwa mkutano kesho kwa vyombo hivyo hivyo."

Karibuni.

Kichwa Kikubwa Akili Nukta
 
Back
Top Bottom