Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

Maumivu yakikuzidi ndio unakimbilia msaada. Bada sana vijana wa UKAWA.
Wewe wacha ujahili hii picha umeiondoa toka topiki iliyotangulia na zipo topiki tatu zinaongelea jambo hilo hilo ,sio natafuta mswaada,ila ule umangimeza upo hapa JF !
 
Visingizio viiiiingi mgombea mwenzenu anachanja mbuga tuu mmeona leo Mwanza ??? Mtamsitukia anafungua makufuli ya ikulu. Dakika za lala salama hizi. Hapo ndio mtajua kweli kabisa kachumbali si mboga.
 
acha ushamba! CCM wanatumia GIANT Screen.....kuhakikisha kila mtu anaona kinachoendelea ....mnatia huruma na mmeshakuwa WAKIWA kweli hata vipaza sauti .....Hivi ni kweli au power bank iliisha Charge?

.....unga unga unga ujaze kibaba !!!
 
Lucifer a.k.a baba wa uongo na uzushi hapa jf naona umerudi kama kawaida yako mida yako ni usiku tu....
 
Mkuu Losambo
idawa ni mmoja wa wale wafuasi wa Slaa ambao nao eti Wamesusa
 
Last edited by a moderator:
Nafikiri leo umejifunza siku nyingine hutarudia kuandika haya uliyoyaandika humu

Nimejifunza ni wewe bange na mahaba.

Lakini nimejifunza kuwa nani nimchague, referred Zambia with Satta
 
Wewe wacha ujahili hii picha umeiondoa toka topiki iliyotangulia na zipo topiki tatu zinaongelea jambo hilo hilo ,sio natafuta mswaada,ila ule umangimeza upo hapa JF !
You don't have any facts.
 
.....

.....Hatuungiungi nyomi !!!
attachment.php


Hivi kumbe wenzetu mnategemea nyomi badala ya kura! mwaka ule wa nyuma wenzenu kama nyie nao walitegemea nyomi, lakini kura hazikutosha na mpaka leo wameishia kuwa wapiga debe wa ccm na ikulu waliishia kuisikia kwenye Radio tano
 
Kweli viroba nomaaa...eti umabishana na ukweli?mtachora sana na edit mfanye kupindisha mambo...but Magufuli ndio habari ya mjinii...he is an untouchable
Kiongozi, umelenga penyewe kabisa
 
Hiki kidudu kilichoanzisha Uzi nadhani kimepoteza sindano ikabidi kishone kwa vidole! Ni kijinga sana, tena narudia ni kijinga sana! Ukikasirika naandika tena

Wee viroba tu na bange plus mahaba, sina muda wakukujibu.

Am verified user, najiamini sanaa njoo na wee na real ID utukane hivyo.
 
Back
Top Bottom