Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

Maji ya shingo yamewafika ukawa wameishiwa hata hoja za kumnadi mgombea wao zimewaishia wanaanza kuahirisha mikutano dakika za mwisho kwa kuwa wameona hawana jambo la kuwaeleza watanzania na tulio wengi tumeshawagundua kuwa ni wasanii na hawana uwezo wa kuongoza wala kutuletea maendeleo kwa kuwa wanamaslahi binafsi katika kutafuta uongozi wa nchi hiii,hatuwachagui kamwe
 
Yani kama nikwahilo la jana wala cna shida kama mdahalo hata mzee wa kuwait na anayewasiliana nawatu wa Intensive care unit hatakuwepo
 
Kwani unatakaje ndugu, umeshajibiwa hapo juu, kipaumbele cha kwanza ccm... Hivi toka muanze hizo propaganda zenu imesaidia chochote.

Wewe si gamba Lowassa anakuhusu nini sasa. Mpigie kura Magufuli Lowassa tuachie malofa Na wagonjwa wenzake

Me ni chadema asili wewe, since 1999 sio chadema coy, na hapa natumia real ID...lete majibu sahihi
 
Tunajua hakuweza kuongea , alichoka sana, rais anayechoka kwenye kampeni hatumchagua, anashindwa na mamaa wa ACT!! Hapana chadema mmechemka, tena pale kulikuwa na wazambia hawakuwaelewa!

Ahahahahahahahaha
 
Mi sijaelewa hata unazungumzia nini naona umeandikia mwenyewe na kujijadili mwenyewe!

Sent from my BlackBerry 10 using JamiiForums

Huyu mtoa mada sijampata kabisaa! Analalamikia nini? Maana kichwa cha habari anasema tujadiliane lakini mwisho wa siku anacomment mwenyewe! Shule bana!
 
Huyu mtoa mada sijampata kabisaa! Analalamikia nini? Maana kichwa cha habari anasema tujadiliane lakini mwisho wa siku anacomment mwenyewe! Shule bana!


Huwezi kumuelewa kwa sababu Mbowe kawadanganya Watu kwamba Lowasa atahutubia Leo na imeshindikana, mikutano mingi iko hatarini kufutwa hali yake siyo nzuri.
 
Ok tuzungumzie la kufa basi maana hili ni dogo zaidi la rais wetu kujinyea haina shida tutamchagua hivyohivyo
 
Wewe hata wangewa wanatembea kwa miguu nchi nzima kwa kura ni ukawa tu tunataka mabadiliko
 
Atahutubia baada ya kuchaguliwa akiwa km rais..tunajua mnamtafuta sana mmalize..tukishtuka mmeshaweka vitu hatuhutubii poleni sana kila kitu kinaenda ndivyo sivyo..
 
Ocampo four tafadhali sana wanaJF wanasubiri kwa hamu kuona picha ya mainjinia wa Ukawa wakiwa 'site' hapo Tunduma kuhakikisha vipaza na vinasa sauti vinafanya kazi asubuhi ya leo ili mgombea wenu atoe japo salamu tu.

Mr Chin pia tusaidie kupata picha hii kama inawezekana.


Mic.jpg
 
Mbowe anasikika kwasababu anayerekodi yuko
Pale pale jukwaani.

Pia watu karibu na jukwaa walikuwa wanasikia hata kama ni kwa shida.

Sehemu kubwa ya uwanja walikuwa hawasikii kitu.
Jenereta waliloleta mara,ya pili lilikuwa halina uwezo wa kusukuma speakers zote zilizotakiwa kuendesha mkutano huo.
Jana tunduma vipaza sauti viligoma ila wananchi walijulishwa kupitia vipaza hivyo hivyo vilivyogoma....ukawa hamsomeki.
 
Mtapata shida na ugonjwa wenu wa ccm. Mkutano wa tunduma umeairishwa
 
Back
Top Bottom