Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

Tatizo inawezekana ilikuwa ni microphones, speakers, mixer au amplifier kwa hiyo sauti ilikuwa haitoshi kulingana na mahitaji yaliyokuwapo kwenye eneo la tuko.Kwa hiyo tusiseme microphone tu kishabiki, na ilikuwa ni lugha lahisi kwa wananchi kuwaambia microphones zimegoma kuliko kuwaambia mixer imehalibika.Mic ni kifaa maarufu saana na wananchi wengi wanakitambua, kwa hiyo ni rahisi kuwaambia na wakakuelewa.
 
Mimi sipigii kura UKAWA eti kwa sababu namtaka Lowassa. Nitaipigia kura UKAWA kwa sababu ndio muungano pekee wenye fursa ya kuing'oa CCM madarakani kwenye uchaguzi huu. Hivyo hata kama Lowassa akizimia kuanzia sasa na asizinduke mpaka siku ya uchaguz, bado ntampa kura yangu.

Ninataka kuona nchi yangu inapata katiba mpya yenye kuwapa raia wake uhuru wa kisiasa na kimaendeleo. Nataka kuona taifa la Tanganyika na lile la Zanzibar yanarejea kwenye hadhi zao na uhuru kamili. Nataka kuona mfumo wa kifisadi uliopandikizwa ndani ya CCM wa kuwalea na kuwalinda mafisadi waliopo ndani ya chama unang'olewa wote. Nataka kuona nchi yangu inang'atuka kwenye hatari kubwa ya usultani inayopandikizwa na viongozi wa sasa wa CCM kuanzia ukoo wa Mwinyi mpaka wa Kikwete. Nataka kuona marais mafisadi waliotangulia (Mkapa, Kikwete) hawapati nafasi ya kuweka vibaraka wao kwa ajili ya kuwalinda na mkono wa sheria dhidi ya ubadilifu wao wakati wakiwa madarakani na ubadhirifu unaoendelezwa nao baada ya kutoka madarakani.

Well spoken!
 
duu! inafurahisha mnajipiga dole nyinyi wenyewe kwenye makalio afu mnanusa eti linanukia nin?npo tunduma na kwenye mkutano nilikuwepo na alizungumza mkutana haukuahirishwa! tafuten propaganda nyingine hii imedoda! na pia haya ni matumiz mabaya ya bando za lumumba!

Naona unajitekenya mwenyewe, Lowassa alishindwa kuongea na mkutano unarudiwa leo.
 
Yule mzee aliishiwa pumzi tangu akiwa eneo moja linaitwa Kamsamba...kisha Itaka Mbozi
Alipofika hakuwa na nguvu za kuongea tena..hata kushuka kwny gari alichukua zaid ya dakika tano kushuka na hata kupanda jukwaani alipigwa jeki na akiwa amebanwa na mtu karibu kama vile majeshi wanavyofanyaga paredi....
Hiyo ilitumika kama mbinu kuondoa AIBU na ingekuwa aibu saaaanaaa...wenye akili wamesoma katikati ya mistar...nilikuwepo na nasema ninachokijua.....baada ya kuletwa gari la matangazo la Momba music ambalo hutumika siku xote hapa Tunduma ndo wakaamua kuahirisha maana walijua hawatasema pia ni mitambo mobovu...
UKWELI UBAKI UKWELI MZEE YAMEMFIKA SHINGONI NI MGONJWA KWELI NA SIJUI ATAKAGUAJE GWARIDE NA VINGINE KAMA HATA KUTEMBEA ANAWEKA UNYAYO ANAPOTOA MLINZI WAKE..SIJUI WATAKAGUA WOTE????
 
Lakin mitambo hiyohiyo wasanii wameimba na kuongea vizuri, ugonjwa sio aibu, ni suala tu la kutaarifu kuwa mgombea hajisikii vizuri.

Yaweza Kuwa Upo Sahihi,maana Nlipokuwa Pale,kuna Muda Alipelekwa Kwenye Nyumba Jirani,sikujua Xababu Ya Yeye Kuingia Mule Ndani,nliona Akisindikzwa,!Lakin Labda Tusubri Leo Nijua Kitu.
 
Usitake kudanganya watu mimi nilikuwepo na nimechukua na picha , mitambo ya kwanza ilianza kugoma kabla hata mheshimiwa hajatua chini Mpaka anaingia uwanjani haifanyi kazi makamanda wakaenda kukodi gari jingine limefika nalo likagoma pia, Mpaka hapo nimeamini kuwa Ccm mnatumia nguvu za giza kabisaaaaaaa
Hapa niko guest nasubilia kesho Saa 3


Guest? Unalala Guest house ili kutengeneza Mafuriko na kuvunja rekodi!!

Mkiambiwa mnasafirisha Watu mnakataa haya sasa mmejiumbua wenyewe Aibu
 
Sawa mwache yeye aache UPUMBAVU ila wewe uuchukue UPUMBAVU! Wa kuamini kuamini kuwa mitambo ilizimwa kwa makusudi. Tukutane jumapili ijayo saa nne usiku..

Kama Hujui Kusoma Nikusaidie,hakuna Hata Sehemu Nlyoxema Mitambo Imezimwa,bali Imezma,jiheshimu Mwenyewe
 
Yaweza Kuwa Upo Sahihi,maana Nlipokuwa Pale,kuna Muda Alipelekwa Kwenye Nyumba Jirani,sikujua Xababu Ya Yeye Kuingia Mule Ndani,nliona Akisindikzwa,!Lakin Labda Tusubri Leo Nijua Kitu.

Kwenye nyumba ya jirani alikwenda kuongea na mama yako kuhusu ada za wadogo zako si unajua wewe ulimaliza mali zote za familia kwa ajili ya kukusomesha kubwa jinga ambalo linashinda kwenye keypad kupaza umbea na kusubiri kusindikizwa na muziki kwa nyuma.
 
Chombo kuharibika ni suala la kiufundi na ni la kawaida sababu lowasa si fundi.
Mbona nyie mnakufa kwa michopa yenu mibovu kwani huo ni udhaifu kwa ccm au ni jambo la ufundi!? Fikilia kwa kutumia kichwa siyo unafikiri kwa kutumia mnduku
 
Acha Upumbavu ,hv Ww Unaish Dunia Gani,unaebisha Kuwa Kahu2bia,kwa Kifupi Hajahutubia Ka Xababu Tajwa Hapo,na Mm Nilkuwepo,mara Baada Ya Kutua,kwenye Uwanja Mdogo(nyuma Ya Highclass Hotel,majengo),alisafirishwa Kwa Gar Kabla Hata Hajafka Eneo La Jukwa Mitambo Ilizma,na Wakat Inazma Bahati Bukuku Na Flora Mbasha Ndo Walikuwa Wametoka Kushuka Jukwaani,kwa Upande Wangu Cjajua Nn Kpo Nyuma Ya Pazia,nna Wasiwasi Kama Wenzangu,,maana Tangu Asubh Vyombo Havikusumbua Hata Chembe,mpaka Wasanii Wote Wametoa Yao,why Wakati Wake?


Kwa hiyo kulikua na Fiesta ya nyimbo za Dini?
 
Tatizo inawezekana ilikuwa ni microphones, speakers, mixer au amplifier kwa hiyo sauti ilikuwa haitoshi kulingana na mahitaji yaliyokuwapo kwenye eneo la tuko.Kwa hiyo tusiseme microphone tu kishabiki, na ilikuwa ni lugha lahisi kwa wananchi kuwaambia microphones zimegoma kuliko kuwaambia mixer imehalibika.Mic ni kifaa maarufu saana na wananchi wengi wanakitambua, kwa hiyo ni rahisi kuwaambia na wakakuelewa.

Ingawa sauti ya microphone hizo hizo ilitosha kuwaambia wananchi mic hazitoi sauti!!!
 
Tatizo lipo mbowe aliongea kwa vipaza sauti hivyo vilivyokuwepo mpaka akatumia alama ya ujinga kuufahamisha mafuriko yaliyokuwepo uwanjani.na kibaya viongozi kuwa waongo hawaambii wananchi ukweli wakati watu wanaona kwa macho yao na kushuhudia.viongozi kuweni wakweli ukweli humpendeza mungu
 
Back
Top Bottom