Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

Wadau wa JF na wote ambao mtasoma uzi.

Kuna uzi umeanzishwa na idawa kuwa Lowasa ameshindwa kuhutubia mkutano wa Tunduma leo hii na kuzua sababu nyingine ambazo ni uwongo.

Usahihi au ukweli wa jambo hilo ni huu. CDM kesho wana mkutano mkubwa Mbeya Mjini, hivyo gari gari mbili zipo jijini Mbeya kwa ajili ya matayarisho ya mkutano huo. Tunduma ilipelekwa gari moja ambayo mitambo ilikorofisha mida ya saa kumi baada ya kutokea hitilafu kwenye jenereta. Juhudi za mafundi kurekebisha zilizshindikana na kaumuru PI system iliyokuwa inatumia pale Tunduma iitwe. Ilipofika ilishindwa kusukuma spika zile kubwa zilizopo uwanjani hali iliyopelekea kuahirishwa mkutano.

Lakini wananchi wa Tunduma wamelielewa hilo na wana imani na Lowasa na kesho wameahidi kujitokeza kumsikiliza tena mgombea huyo wa UKAWA kwa wingi ule ule.

La kutia moyo ni kwamba crue nzima ya ITV ipo Jijini Mbeya kwaa ajili ya kurusha mkutano huo moja kwa moja kutoka jiji hilo ambao ni ngome ya CDM kwa muda mrefu. Mkutano utaorushwa si ule wa Tunduma ambao umeahirishwa.

Huo ndiyo ukweli wa kilichotokea Tunduma.

Nawasilisha.

Kaungane kwa kuvunja amri ya 8
 
Acheni usanii makamanda jaribu muwe wakweli wa mambo. Hivi unataka kuniambia maandalizi makubwa kama yale yakakosa njia mbadala? ?? Mbona wengine waliongea kwa kipaza sauti au vile vilikuwa vya kwao na haviazimishwi? Njooni na story nyingine basi.
Mnatia aibu kama ndio hivi vipaza sauti tu vinawashinda mtaweza kuongoza linchi kama hili letu? ?


Acheni ujinga magamba wakubwa nyie, mmeingiza meli ya magu-fool ya mwaka 1970 kwa bei ya mpya, kwenu hayo ni mafanikio wala si shida? Shida ni kubuma kwa PI system kwa siku moja?
Samaki wa magu-fool, wameicost nchi mabilion ya shilings!
Mauzo ya nyumba za serikali?
Na skendo nyingine kibao, ambazo ni ufujaji wa pesa za umma.

Sasa kuharibika kwa system ya sauti katika mkutano imecost pesa ngapi wananchi? Mnaacha kumuhurumia Filikunjombe kwa kukodishiwa chopa mbovu kisha mnawasikitikia watu wa Tunduma eti kwa kuwa mkutano umeahirishwa kwa sababu ya Public Addressing system issue? Huo mkutano mwingine utafanyika, je ule wa Njombe utafanyika lini?
 
Hiyo picha wameunga watu wa CDM. Nao ni maarufu ktk kuunga unga. Uzuri CCM wana rusha live mikutano yao. Kidumu chama kigumu kutoka madarakani!!!!

Nyie si mnatumia paye na kodi nyingine za watz, kwani hamna vitega uchumi, startv na tbc (tbc mshaifanya tv ya ccm na sio ya watanzania wote kwani hata wapinzani kodi zao ndo zinaendesha tv hiyo) inarusha bure,
 
Acheni kudanganya watu ninyi, si mseme tu ukweli huyo mgombea wenu leo charge ilikwisha. Nasikia mpaka awekwe juani kwanza ndio anapata charge tena baada ya kuchomwa sindano. Au daktari leo alisahau kumchoma sindano???
 
Tujadili hili pls?

Lakini fikra zangu.

"Me nampenda mungu maana ni muaminifu, anafichua yale yote yanayofanywa sirini, haya sasa, wana tunduma mmeona kwa macho yenu, mmesikiliza mziki mwanzo mwisho, alafu by the time anatakiwa kuongea mzee tu mnaambiwa vimeharibika, that is a cheap reason kutolewa kwa mtu/chama kinachotaka kuongoza nchi, wakat wwngine wote wametumia vyombo hivyoo...na mmetangaziwa mkutano kesho kwa vyombo hivyo hivyo."

Karibuni.

Unashangaa vipaza sauti kuzimika ghafla wakati vimetangazia mkutano kabla lakini hushangai injini ya chopa kutoka Dsm nzima na kwenda kuzimikia mbuga ya Selous.
 
Mr chini inamaana hujui kama watu wanakushangaa umeshindwa kuchukua pc leo wale wanafunzi wa shule ya msingi walipewa manjano yasouzika yale unaweka wasokuhusu baba mwaka huu subir presure tu

Unaweweseka kama lowassa na kupaniki kama ukawanite.
 
Msipate shida ya kuandika sana na kujaza seva za JF buree, mwaka huu mmetukana sana mmekashifu sana afya ya Rais Edward Lowassa matokeo yake Mungu amewaonesha uwezo wake wao wenyewe ndiyo wanaondokea Appollo bila Kongosho na Maini. Kumbe kuna wagombea wanatembea na makasha tu maini na kongosho kushnei siku nyingi...
 
Msipate shida ya kuandika sana na kujaza seva za JF buree, mwaka huu mmetukana sana mmekashifu sana afya ya Rais Edward Lowassa matokeo yake Mungu amewaonesha uwezo wake wao wenyewe ndiyo wanaondokea Appollo bila Kongosho na Maini. Kumbe kuna wagombea wanatembea na makasha tu maini na kongosho kushnei siku nyingi...

Lowassa Kwisha habari yake.
 
Hilo gari la CDM na hapo ni karatu acheni ujinga nyie
 
kwa mipasho si haba wanaiweza makada..
alieshindwa ni bondia ambae kyela sauti haikutoka na mtuambie tarehe 10 na 11 bondia alikua wapi ?
amiri jeshi mkuu mtarajiwa akiwasalimia wananchi waliofurika huko tunduma..
 

Attachments

  • 1445138320202.jpg
    1445138320202.jpg
    22.8 KB · Views: 325
Leo twaweza, mkuu karudia mkutano ili asije ulizwa kwann hakutokelezea kwenye mdahalo
 
Back
Top Bottom