jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,989
- 22,521
- Thread starter
- #81
Kwa tafsiri nyingine mh Rais ameshindwa kazi?kazi ya kulitumikia taifa,kuzilinda rasilimali na wananchi wake?Kikwete anajiweka kwenye nafasi ya kushitakiwa kutimiza kazi zake akiwa kama amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama wa Tanzania.
Kama haya madini sio ulinzi na usalama wa Tanzania, then sijui nini tena kinafit hiyo tafsiri!