Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 65
So, JF members are not interested in this, are they? Some mining outfit plays police in an otherwise peaceful village in Tanzania, and that does not attract the attention of JF members?
Where are you Mwafrika wa Kike? Its your thread, remember? There was plenty of activity around here when it was rumored that Mzee Mwanakijiji had developed some soft spot towards you. Is this thing of trigger happy guards arresting villagers, for trespassing on the villagers own land, not a whole lot more interesting to you, and even to Mzee Mwanakijiji?
Come on guys, your silence on this is deafening!
Mwalimu Moshi,
Samahani sana kwa kutoiona hii on time maana kila ijumaa jioni mimi huchukua off (kwenda kwenye faculty day ya ikibinda nkoi pale mwenge...lol) na kurudi jumatatu.
Niliahidiwa kuwa hii report itatoka mwisho wa mwezi na kwa vile leo ni mwisho wa mwezi wa tatu (mwaka 2008 to be specific) basi tutegemee kuona kina Zitto wamefanya nini katika hili.
Sio kwamba nimepuuzia hiyo story yako, nilijaribu kusubiri kidogo (na hata nilisema hapa) ili niweze kuwa na basis ya kutoa opinion yangu.
Kwa sasa nadhani kila kitu kiko mezani na hii habari yako ya majambazi na uporaji wao sasa itakuwa ajenda namba moja kwenye hii story!
Samahani na asante kwa kunikumbusha hili.
Asante!