Hatimaye Jerry Muro ashinda kesi yake

Hatimaye Jerry Muro ashinda kesi yake

Obama alikuwa na jibu moja tu kwa wale ambao hawakuamini kuwa Osama amekufa. Obama alisema ' you will never see Osama walking on this planet again'. Mimi nasema ' you will never see Jerry Muro employed again'
Kweli sasa nimeamini kuwa ile media company ya wahaya imejaa vilaza na wenye majungu, na inaonyesha pia kuwa sera yao ya kuajili lazima uwe na roho, tabia, na ukatili wa kimagamba. Shame on you.
 
Rushwa au ufisadi haumfungi mtu mwenye akili zake timamu nchi hii. Ni mfumo wa maisha kama ilivyo mifumo mingine ya kawaida kama vile DINI, ELIMU,...
 
Mwananchi Communications Ltd
Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imemuachia huru aliyekuwa mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC Jerry Muro na wenzake wawili na kudai kuwa wamefutiwa mashtaka yote yaliyokuwa yakiwakabili.Kwa habari zaidi ungana nasi baadaye— with Micky Kinabo and Abeid Katala.
 

Attachments

  • jerry.jpg
    jerry.jpg
    23.6 KB · Views: 67
hana tena mvuto..baada ya kufukuzwa TBC alijiunga na Tumaini university..kuna mwalimu alimfukuza kama paka! Kila mtu tumaini alikuwa anamuona kichefuchefu.
Juzi juz hapa nimekutana naye maeneo ya Calabash na GX 100 yake, maskini kachooka. Nikamblock kwanza! Nilikuwa nasubiri alianzishe bahati nzur akawa mpoleee

Kumbe mlikuwa wengi eh? Mtajibebaje!
 
Hongera Muro,japo kama ni kweli ninavyosikia kuwa ulibambikiwa hiyo kesi basi kuwa mwangalifu mno,wabaya wako utaendelea kukutafuta hadi kieleweke.
 
ndio maana nasema wewe ni comedian

Sheria haisemi hivyo, tatizo ni kama umekutwa na hatia, Mbona Mh Rage alihukumiwa kabisa na akakaa Jela na anapata msamaha wa Rais, then anakata rufaa akaonekana hakuwa na makosa akafutwa kwenye vitatu vya waharifu! Now he is Mbunge :canada:
 
Jerry Muo sasa ajihami na ile sumu inayomsumbua Mwakyembe. Maaana hao jamaa baada ya kushindwa mahakamani watazidi kumuandama tu
 
Muhimu akakusanye Mishahara yake yote aliyoiacha pale TBC,(Sheria inamruhusu) arudi IPP kwa R.MENGI akaendeleze harakati.., Akiendelea kubaki TBC watam-MWAKYEMBE kabisa
 
Sure Mungu hamuachi mja wake ata mtoto wa chekechea angepewa kesi ya jerry muro aijudge angeshinda tu.hakuna ubishi kuwa alibambikiwa ili kuua nguvu ya kufichua mafisadi wa barabarani...big up murro
 
Sheria za nchi zinasema ukishashtakiwa mahakamani hutakiwi kuajiriwa tena na kampuni yoyote ile. Huyu Jerry Murro imekula kwake moja kwa moja.


Hakuna sheria hiyo kwanza elewa jerry alituhumiwa haikudhibitishwa nacho fahamu kama umetuhumiwa unasimamishwa kupisha uchunguzi uendelee HUKU UKILIPWA MSHAHARA WAKO KAMA ILIVYOFANYIKA KWA JAIRO KUMNYIMA MSHAHARA NA KUMNYANGANYA BIMA YA AFYA NI MAKOSA. hivyo kama walimfukuza kazi sababu hiyo wamekosea na jerry anahaki ya kuwashati na wanatakiwa wamlipe hela yake yote tangu kesi ilipopelekwa mahakamani kwa kutuhuma ya kupokea rushwa hadi leo alivyoshinda kesi yake.

pia nakumbuka nilisikia walimzuia kupokea tuzo yake, hela na laptop kama mwandishi bora sababuya hii kesi ilioisha leo.
jerry kama unapita upande huu nenda kadai jasho lako kwani ni haki yako na kama utapenda kuendelea kufanya nao kazi ni ruhusa yako mwenyewe kuamua
 
Rushwa au ufisadi haumfungi mtu mwenye akili zake timamu nchi hii. Ni mfumo wa maisha kama ilivyo mifumo mingine ya kawaida kama vile DINI, ELIMU,...
Nakubaliana na wewe Kumbe hata Kina Lowasa na chenge tunawaonea tu.. Hakuna ushaidi. Kweli Tanzania kazi tunayo
 
Acha mipasho sasa. Mimi siyo hakimu. Best judgement has been reached. Tumuache naye sasa awe huru. Mimi nimempa onyo tu! Aangalie pa kugusa, siyo kila mahali panafaa kugusa. Wanaoona wananyamaza siyo wajinga.
kuwadi wa evil ,unayoyafanya hata dini yako hairuhusu....afadhali ulivyokuwa ilboru saiv sijui umefanywa nn na mafisi wa nchi hii.
 
Ameachiwa achiwaje? vipi tuhuma dhidi yake,zilipikwa? Na nani,na kwa sababu gani...vipi jina lake baada ya muda wote huo wa kupakana matope....naomba ufafanuzi kidogo hapa!
duuh, we upo Tanganyanyika kweli? au upo Zanziberi.
 
Dah! Pole sana Jerry..Karibu tena uraiani. Lakini naamini utakuwa umeshapata fundisho. Siyo kila mtu ni wa kuchezea ndani ya TZ hii

..Sio mzima wewe wakakupime,,nyie ndo tunaowatafuta mnaochelewesha maendeleo Tanganyika kwa mawazo mgando ambao umasikini wa fikra umewajaa na kuona haki ni mali ya vigogo na walalahoi hawastahili kukemea maovu ya wakubwa....mfate kampe pole kwa kumpeti peti bwana ako Law.. M.sha et al. kwa kushindwa kesi ya fitina..famba mkubwa weee shame on you...Think Global..Act Local!!!
 
hatimaye Mwandish wa habari Jeri Muro ameachiwa huru.mwandishi huyo aliyekuwa anafanya kazi TBC alikuwa anakabiliwa na kesi ya kudai rushwa...

hivi ndivyo JK huwa anacheza karata zake. Jana (baada ya kulipa mishahara ya watumishi wa umma) kanukisha suala la Katiba, Leo kapulizia uturi suala la Muro.

Hongera Jerry.
 
Nakubaliana na wewe Kumbe hata Kina Lowasa na chenge tunawaonea tu.. Hakuna ushaidi. Kweli Tanzania kazi tunayo
Hao ndio hata kushtakiwa hakutakuwepo kabisa. Hakuna namna ya kumsimamisha Chenge mahakamani akakwambia ile $ 1,000,000/= kule visiwani kaipataje! Ushahidi hauwezi kuwa hizo dola ambazo kwake ni vijisenti tu.
 
Back
Top Bottom