Hatimaye Jerry Muro ashinda kesi yake

Hongera sana Mkuu
Baada ya muda tulia na jipange kuhakikisha kuwa wale waliokufikisha hapa ulipo unawapeleka kwenye vyombo vya sheria nao wapate haki yao
Karibu sana Uraiani na sasa naamini utafurahia honeymoon yako vyema
 
do!mungu amnusuru huyu kijana,maana mifisadi ya polisi inaonekana imemkalia shingon
 
Hivi wakati kesi inaendelea mwajiri wake alikuwa bado TBC au ndio aliacha kazi kabisa huko?
 
Tuhuma dhidi yake zimeshndwa kudhibitika.
Sasa ni wakati wake kujua ni nini atawafanyia hao waliomzushia kesi.
 
Nadhani atarudi kazini na kendelea na kile kipindi chake ili kupigana na rushwa. Asiogope aendelee na vita ile aliyoianza.
 
Kuna maswali mengi hayajajibiwa katika habari hii, (nimeiweka kwa kiswahili imeshaongelewa hapo juu)
 
kipindi Tido akiwa mkurugenzi jamaa alikuwa anapewa nusu salary ila baada ya TIDO kuondolewa mshahara wote wa Jerry ukakatwa ikiwa pamoja na huduma zingine kama bima ya afya nk
 
Kama habari ni za kweli. safi sana...! Hivi kweli atarudi TBC hii ya sasa ya makanjanja?
 
Back
Top Bottom