Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,106
- Thread starter
- #121
Kwani wewe hujui kuwa wabunge wameajiriwa na wananchi?kwanza naona hapa nabishana na mtu sie kabisaaa.Nisije pata hasira za bure na ikala kwangu...kwaherii
Hahahahaa.dadito umeanza kuchakachua sredi ya kusherehekea freedom ya muro.Haya mamaaaa,nimesikia na saa usiyodhani nitatua hapo kwako.Nakusubiri harakisha usije ukanikasirisha na wewe....
Jerry Muro amshukuru sana balozi wa Marekani
Kuna ile imani kuwa wanawake wengine ni nuksi, ukioa tu umekwisha! Kwa maana hiyo huyu aliyeolewa na Muro kaleta baraka. Kama ndivyo basi hongereni ma-SHE wote! Naomba niulize, Gerry tutamuona tena TBC au ndo niaje hatima yake kazini?
hana tena mvuto..baada ya kufukuzwa TBC alijiunga na Tumaini university..kuna mwalimu alimfukuza kama paka! Kila mtu tumaini alikuwa anamuona kichefuchefu.Hahahaaa Pole Mr. Man....chungu kumeza, jitahidi.
Nashangaa!!!Tutasikia mengi leo hapa mwayego....
Lakini cha muhimu Jerry yu huru, uhuru mtamu SL bana....
Ajira ajira, siku zote hizi alikuwa anaishije tangu ashtakiwe?
Hivi kila mtu lazima aajiriwe?
Tunamkaribisha ChademaWewe unachotaka ni nini? Ulitaka kusikia kuwa amefungwa? Habari ndo hyo kuwa sasa he is a freeman..
Sasa hivi itabidi tu awe anafanya kazi za back office. Kuuza sura kwenye TV sasa noo!
Waajiri wanatumia "udikteta" wao. Mara nyingi wanawaachisha kazi watu kama hawa kwa visingizio kuwa nafasi zao zimejazwa na watu wengine. Muro atapata kazi. Huoni anavoshangiliwa humu!Mbunge anachaguliwa na wananchi haajiriwi na wananchi. Sheria za nchi zinasema mtu yeyote aliyewahi kushtakiwa mahakamani, hata kama atashinda kesi, atakuwa amepoteza haki yake ya msingi ya kuajiriwa na taasisi yoyote ile. Mimi nina mifano ya watu wengi tu ambao walikuwa waajiriwa na wamejikuta juu ya mawe baada ya kushtakiwa mahakamani.
Ikamilishe weweHii habari haijakamilika............................
Mbunge anachaguliwa na wananchi haajiriwi na wananchi. Sheria za nchi zinasema mtu yeyote aliyewahi kushtakiwa mahakamani, hata kama atashinda kesi, atakuwa amepoteza haki yake ya msingi ya kuajiriwa na taasisi yoyote ile. Mimi nina mifano ya watu wengi tu ambao walikuwa waajiriwa na wamejikuta juu ya mawe baada ya kushtakiwa mahakamani.
Weka sheria husika hapa bana...huwezi ng'ang'ana kwa maelezo meeeengi kisha irrelevant...Mbunge anachaguliwa na wananchi haajiriwi na wananchi. Sheria za nchi zinasema mtu yeyote aliyewahi kushtakiwa mahakamani, hata kama atashinda kesi, atakuwa amepoteza haki yake ya msingi ya kuajiriwa na taasisi yoyote ile. Mimi nina mifano ya watu wengi tu ambao walikuwa waajiriwa na wamejikuta juu ya mawe baada ya kushtakiwa mahakamani.
Kwani alimchezea nani?