Hatimaye Jerry Muro ashinda kesi yake

Hatimaye Jerry Muro ashinda kesi yake

Hukumu ni kweli imetoka in favor of jerry , kesi hii ilikuwa mbele ya mh. Gabriel mirumbe na baadae akapewa kijana frank moshi ambaye aliendelea nayo na leo amehitimisha leo na kumuachia huru
 
Kwani hujui kuwa Jerry Muro alikuwa anawafanyia kazi CIA? Hukumbuki kipindi cha ziara ya Bush alivyokuwa busy kuzunguka na camera nchi nzima? Wakulu walipoanza kuona mambo yanageuka wakamzushia zengwe ili wampunguze kasi.
khaaaaaa! huu ni uongo uliobase kwny empty assumptions and factless basis on the ground.
stop ths cheap comments of urs ,ni ushauri tu kwasababu unauza utu wako tu hapa.
 
Welcome back Jerry.......usikate tamaa uzi ni ule ule wa kupambana na ufisadi. Just be more careful this time around maana wabaya wako ni wengi na unapigana na powerful intitutionalised corruption. Tafuta back up ya taasisi yenye credibility watasita kukuvamia na kukupakazia kama walivyokufanyia mwanzo maana next time watakufanyia mbinu chafu zaidi na hata ikibidi Kuku"mwakyembe........!"
Be blessed brother
 
Unamaanisha natumia akili sana kwahiyo nianze kutumia kiasi kidogo tu cha akili yangu? Nitazingatia ushauri wako.

akili inaweza kuwa nzuri au mbaya. anachosema ni kwamba umejaa masaburi na unayatumia kwa wingi. punguza.
 
hana tena mvuto..baada ya kufukuzwa TBC alijiunga na Tumaini university..kuna mwalimu alimfukuza kama paka! Kila mtu tumaini alikuwa anamuona kichefuchefu.
Juzi juz hapa nimekutana naye maeneo ya Calabash na GX 100 yake, maskini kachooka. Nikamblock kwanza! Nilikuwa nasubiri alianzishe bahati nzur akawa mpoleee
Inaonekana imekuuma sana mzee, pole sana mkuu ni ngumu kumeza but ndio ukweli huo kuwa kijana yuko huru. Yaonekana unachuki binafsi juu ya huyu kijana, ni mmoja kati ya aliowalipua? Shame on you na ufisadi wenu..
 
He has recently got married just in case you are not aware of.
Una matatizo wewe,nina wasiwasi na huko upstairs kwako,Again Jerry im so happy for you,sasa maisha ndo yanaanza na watajibeba
 
khaaaaaa! huu ni uongo uliobase kwny empty assumptions and factless basis on the ground.
stop ths cheap comments of urs ,ni ushauri tu kwasababu unauza utu wako tu hapa.

Unless you have substantive argument to controvert mine, you have no power to contest my knowledge about Jerry Muro!
 
Dah! Pole sana Jerry..Karibu tena uraiani. Lakini naamini utakuwa umeshapata fundisho. Siyo kila mtu ni wa kuchezea ndani ya TZ hii
yaani unamaanisha mafisadi tuwaache tu wale nchi kwa kuogopa kufungwa? acha hizo mtoto wa kiume
 
Pole sana mzee wasamehe kwakuwa hawakujua walitendao. Endelea kuchapa kazi wala usidai fidia.
 
Waoooo!!!! What a good news!!!! Lazima tujue kuna haki hata hapa duniani na fanyeni tu uchafu tutaendelea kuwafichua hata kama mulete viisho
 
Hivi Jamhuri huwa haikati rufaa? Yaani pamoja na ma-CCTV camera yale kwenye mahoteli, kukamatwa pale mgahawani, matapeli wale alooshtakiwa nao,...
 
Jana nilikuwa na traffic mmoja aliyetimuliwa kazi Iringa kisa Jerry jamaa kachokaaa!
Alikuwa na vitexi na viace naona ata kuvimudu ishakuwa issue
 
Back
Top Bottom