Hatimaye Jerry Muro ashinda kesi yake

pole kaka jerry,hayo ni mapito haimanishi harakati zako za kufichua maivu ndio zikome pambana fanya kazi yako endelea kuwa mbunifu zaidi na zaid
bado tunakuitaji sana tu
 
Well then i am expecting him kurudi kwenye one of the Tv Stations...lakini kwa jinsi mlivyoelezea sidhani kama itakuwa rahisi kwake kurudi TBC inaonekane huko na kwenyewe alifanyiwa vitimbi
Vitimbi sio kidogo, waliacha kabisa hata kureport habari za kesi yake, walimtenga vibaya kabisa ila mungu kampigania na sasa yupo huru.

Aibu zake aibu zao? Aibu zao wenyewe tbc1
 
jerr ni under cover..aliyemshtaki hakujua hlo! Ndio maana yamekwisha! ...jer si m2 wakawaida kama mnavodhani.
 
Well then i am expecting him kurudi kwenye one of the Tv Stations...lakini kwa jinsi mlivyoelezea sidhani kama itakuwa rahisi kwake kurudi TBC inaonekane huko na kwenyewe alifanyiwa vitimbi

Jerry mwenyewe anadai yupo katika madhungumzo na STAR TV
 
inabidi muro leo ujipongeze kama huyu bwana hapa chini

2+(2).jpg
 
Sheria za nchi zinasema ukishashtakiwa mahakamani hutakiwi kuajiriwa tena na kampuni yoyote ile. Huyu Jerry Murro imekula kwake moja kwa moja.

Wewe Mwita mbona unanichanganya!! Sheria gani inasema hivyo? Inukuu hapa tuione ili nasi tuhabarike.
 
Vitimbi sio kidogo, waliacha kabisa hata kureport habari za kesi yake, walimtenga vibaya kabisa ila mungu kampigania na sasa yupo huru.

Aibu zake aibu zao? Aibu zao wenyewe tbc1
Heheheee umeanza mipasho!?
Utasikia waosha vinywa sasa hapa....
 
inabidi muro leo ujipongeze kama huyu bwana hapa chini

2+(2).jpg
Kweli mzee Pinda ni mtoto wa mkulima. Amenikumbusha kijijini kwetu wakati marehemu baba yangu anapata hii pombe wenyewe wakiwa wanaiita pombe ya mikenge!!
 
Sheria za nchi zinasema ukishashtakiwa mahakamani hutakiwi kuajiriwa tena na kampuni yoyote ile. Huyu Jerry Murro imekula kwake moja kwa moja.

Muongo mkubwa wewe, sheria ipi iyo? ictoshe Jerry kashinda kesi, kwa maana hiyo hana hatia.
Kwa taharifa yako yupo katika madhungumzo ya mwisho na STAR TV
 
Sheria za nchi zinasema ukishashtakiwa mahakamani hutakiwi kuajiriwa tena na kampuni yoyote ile. Huyu Jerry Murro imekula kwake moja kwa moja.

Hapana Mwita, zinasema ukiwa convicted ndiyo hustahili kuajiriwa sekta ya umma.
 
Sheria za nchi zinasema ukishashtakiwa mahakamani hutakiwi kuajiriwa tena na kampuni yoyote ile. Huyu Jerry Murro imekula kwake moja kwa moja.

Mwita ni sheria ipi inatamka hayo mkuu
Maana naamini Jerry hakuwa guilty of the offence
Angepatikana na hatia hapo hata hivyo akifungwa akirudi bado ni raia wa kawaida na ana haki kama raia wengine ikiwemo ya ajira
naomba hiyo sheria mkuu inayosema ukipatikana na hatia huruhusiwi kuajiriwa tena
 
Sheria za nchi zinasema ukishashtakiwa mahakamani hutakiwi kuajiriwa tena na kampuni yoyote ile. Huyu Jerry Murro imekula kwake moja kwa moja.

Unatafsirije sheria Mwita?
Kushtakiwa na kukutwa na hatia ni mambo mawili tofauti
 
Heheheee umeanza mipasho!?
Utasikia waosha vinywa sasa hapa....
Hahaha... Sio mipasho bht ni ukweli halisi, afu kuna watu wanakerwa j muro kuachiwa lol, shame on them. Ndio kaachiwa sasa wajinyweshe tu 'vyumu'
 
Back
Top Bottom