Dah! Pole sana Jerry..Karibu tena uraiani. Lakini naamini utakuwa umeshapata fundisho. Siyo kila mtu ni wa kuchezea ndani ya TZ hii
Hivi nyie vipi mnashangalia kuachiwa kwa mume wa mwenzenu?
Wapi Champaigne ni furaha kwa kwenda mbele,SIKU HAZIGANDI
Hivi nyie vipi mnashangalia kuachiwa kwa mume wa mwenzenu?
Una matatizo, mkurya gani unaumbea kama mtu wa pwani!
Santeeeeee!heheheeeeee huyo mume wa mwenzetu wengine ni ndugu wa damu....
karibu hata wewe tufurahi sote...
Mungu ampe nini
Mke mwema kapata
kesi imetupiliwa mbali
wacha tufurahi na ndugu yetu Mwita25
daaaaah.....
Dah! Pole sana Jerry..Karibu tena uraiani. Lakini naamini utakuwa umeshapata fundisho. Siyo kila mtu ni wa kuchezea ndani ya TZ hii
Lol, waambie tunayo miswaki mpaka ile inayolimwa huko kondoa, (MDAAA) KAZI KWAO WASUKUtuaji washindwe wenyewe.acha wanaosukutua waendelee, lakini sisi twafurahia tu Jerry yuko huru huria
wasukutuaji endeleeni, mkihitaji miswaki ya miti au mkaa tutawaletea....
shampeni na ndafu mwaya eeeh!!!
Lol, waambie tunayo miswaki mpaka ile inayolimwa huko kondoa, (MDAAA) KAZI KWAO WASUKUtuaji washindwe wenyewe.