Hatimaye ICC kutua nchini - MwanaHALISI

Hatimaye ICC kutua nchini - MwanaHALISI

Angalia senge la kijijini hili
Unadhani kila wanavyokuingia huko nyuma ndio ni sawa kujiamualia kwenda kila nchi
Screenshot_20260216-115515~2.png
 
Hatua kama hiyo haiwezi kusaidia sana kwenye karne hii ya ishirini na moja, kwasababu upo uwezekano mkubwa wa kukusanya ushahidi remotely. Besides, implication ya kufanya hivyo ni kwamba they have something to hide. Watakuwa wanakaribisha further diplomatic pressure!
Put it this way: The bottomline ya Samia ni kukaa madarakani fo five more years regardless everything else..
Atengwe huko nje hili halipo kwenye dira yake. Anamaliza miaka mitano, anasepa UAE au Oman kwenda kumalizia maisha yake huko!

This is why I am insisting, the pressure from within should be unbearable to her. to make her realize, "five" years is an unattainable mirage
 
Umemuita malaya, mimi ndiye nimeanzisha huu uzi na nimeleta hiyo video kuwaonyesha njinsi mlivyo na kazi ya kukanusha kila kitu.

You're not pro active kazi yenu ni kukanusha tuu na kutukana kama ulivyomtukana huyo dada.
Kama unaweza kumsikiliza malaya na kufoward ile clip nawe jitathmini.
 
Huoni kuwa hiyo unaambiwa ni separate deal ya JK/Samia Vs Congo Government? Siyo ya UN. ungekua na hekima ungeanza kwanza na investigation. Sasa wewe umekurupuka tu. Probability ya Samia na JK kufanya deal ni kubwa sana kutokana na historia yao
Social media ni kama jalala, if hautachuja taarifa you will end up absorbing all the rubbish.
 
Humu kumejaa ujinga mwingi sana sababu wengi humu wapumbavupumbavu
Hao ICC wakikataliwa visa wana nini cha kufanya zaidi ya kulopolopo
We akili huna,au unafikiri icc ni ya kina wasira??
 
Put it this way: The bottomline ya Samia ni kukaa madarakani fo five more years regardless everything else..
Atengwe huko nje hili halipo kwenye dira yake. Anamaliza miaka mitano, anasepa UAE au Oman kwenda kumalizia maisha yake huko!

This is why I am insisting, the pressure from within should be unbearable to her. to make her realize, "five" years is an unattainable mirage
Mfanye ujinga halafu mtegemee huruma ya ICC!, huo ni ujinga wa kiwango cha SGR.
 
Mi huwa sisomi magazeti ya Udaku CCM ni utekelezaji tuu Bima kwa wote hiyo baba yako na mama yako wanatibiwa bure Katiba mpya iko njiani
Watakaotoa pesa za Bima ya afya wajiandae kuwa watumwa huko hospitalini.
 
Kama unaweza kumsikiliza malaya na kufoward ile clip nawe jitathmini.
Mfano mzuri wa jalala ni kama ulivyo wewe. Huna jambo lolote la maana tena unalochangia kwenye kurasa hizi za JF.
 
Hakuna kesi yoyote mkuu Kalamu. Kazi zinaendelea, PM Mwigulu anazunguka huko mikoani akitatua shida za watu.
Unayasema haya ukiwa ni nani hasa wewe katika utawala haramu!
Unategemea watu wenye akili timamu wenye kujali maslahi na heshima ya taifa hili wahaidiwe na maneno kama hayo uliyoandika hapo?

Mwigulu kwani ni nani?
 
Unayasema haya ukiwa ni nani hasa wewe katika utawala haramu!
Unategemea watu wenye akili timamu wenye kujali maslahi na heshima ya taifa hili wahaidiwe na maneno kama hayo uliyoandika hapo?
Mkuu hakuna kesi yoyote. Serikali ilizima jaribio la mapinduzi lililoandaliwa kwa kuwatumia Gen Z.
 
Mkuu hakuna kesi yoyote. Serikali ilizima jaribio la mapinduzi lililoandaliwa kwa kuwatumia Gen Z.
Huna unalojuwa wewe umebaki kuleta mipasho tu humu. Mara hawataruhusiwa kuja hapa, sasa wanakuja kwa mambo mengine! Unazoakili kweli kichwani mwako?
 
Humu kumejaa ujinga mwingi sana sababu wengi humu wapumbavupumbavu
Hao ICC wakikataliwa visa wana nini cha kufanya zaidi ya kulopolopo
Maana yake hata wewe Makebo na Steven Joel Ntamusano na Troll JF na mabaka a.k.a Scars na Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah na chawa wengine ambao wao walishazila na kuachana na ushenzi wenu kwa kuwa wanadhulumiwa malipo ya B700 kwa siku ni mipumbavu mipumbavu pia maana imejazana humu kama bamia kwenye viroba..?

Is what you mean Makebo..?

Basi wewe hakika ni akili "nusu kisoda" maana unajitukana mwenyewe na kisha kuwatukana TEAM CHAWA WA SAMIA wenzako bila hata kujua...!!

Pole sana
 
WT *** is you saying bruh???

Unaniweka mimi kwenye kundi la hao chawa wa CCM kwasababu nimeonesha doubts ya authenticity ya hilo gazeti?
 
Back
Top Bottom