Amkeni nyie nyumbu crocodile...hiyo picha ya zamani sana...ilipigwa 2010..angalia tshirt za cdm mpya
Amkeni nyie nyumbu crocodile...hiyo picha ya zamani sana...ilipigwa 2010..angalia tshirt za cdm mpya
Ni kawaida watu kushabikia wanapoona kuna mfarakano baina ya watu wengine.
Hapa Dr alitumia mbinu tu kupima upepo wa maadui zake. Maadui bila kujua wakanaswa na mtego wa kuropoka.
Kuna haja ya kuendeleza mbinu kama hizi kipindi hiki.
watu wenye elimu kubwa wanajikuta wakiingia katika mtego wa umbea ni aibu sana!
UKishindwa hoja, unanyamaza. Ukitukana unaonekana umepaniki. Kwa hiyo na Dr. anavaaga shati hilo hilo tangu hiyo 2010 unayoisema?
![]()
![]()
Kubali madaliko uyaongoze kuliko kusubiri yakulazimishe kuyafuata kwa mtindo wa zigzag bila maandalizi.
Dr.W.Slaa tunaomba utuhakikishie. Umoja ni Ushindi.
Kwahiyo?
Mbona hii picha ni yamuda mrefu sana.
Angalia hio tshet ya cdm ni new brand na ndo walizovaa jana mkutano mkuu pale mlimani city.