MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,097
- 35,478
Angalia hio tshet ya cdm ni new brand na ndo walizovaa jana mkutano mkuu pale mlimani city.
Pole sana
Angalia hio tshet ya cdm ni new brand na ndo walizovaa jana mkutano mkuu pale mlimani city.
hii picha mbona yakitambo? hizi propaganda za kipuuzi zinakera.
Kuna mission imehamia side two,
Take care!
Nenda kamwambie Makomeo picha ya zamani imeletwa.Mapanyaaaa kimbunga kinavuma
Angalia hio tshet ya cdm ni new brand na ndo walizovaa jana mkutano mkuu pale mlimani city.
Wanadhani wote wapo kama zuzu wao DJ
Majibu gani hayo
Hamna kitu kama hicho! Slaa mwenyewe kuona kapuuzwa mambo yanaenda kama yalivyopangwa, mwenyewe kajitoa mafichoni kwake, chezea njaa enhe!Imebidi Mtei apige magoti...Amakweli Slaa ni baba lao!!
Hamna kitu kama hicho! Slaa mwenyewe kuona kapuuzwa mambo yanaenda kama yalivyopangwa, mwenyewe kajitoa mafichoni kwake, chezea njaa enhe!
Kwa kuuliza swali kinafiki unaoneka umeuelewa ujumbe
Picha ya zamani sana, mnadhani Dr Slaa ni mwepesi kiasi hicho. Hawezi kukubaliana na upuuzi huu wa kukumbatia mafisadi halafu tunaenda kupiga magoti kumwomba atufanyie kampeni. Ni ujuha tuPicha hii ni current? ... Mbowe amewiva kisiasa ... Slaa anafifia kifkra japokuwa anahitajika kwaajili ya kuhakikisha CCM wanaingia kaburini coming October ... Shuntama la Josephine balaa ...
Amkeni nyie nyumbu crocodile...hiyo picha ya zamani sana...ilipigwa 2010..angalia tshirt za cdm mpya