Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,115
...Shuntama la Josephine balaa ...
Mkuu, ni Webumbe.... Chuntama lilikataa!! Babu nae mkali eti!
...Shuntama la Josephine balaa ...
Mkuu hiyo pic ni ya 2010...angalia tshirt mpya za chadema..wacheni kudanganya watanzania...dr ashafanya maamuzi sahihi
Pole sana
Hizo pic za 2010 mkuu
hizi mbona picha za jana wakati mbowe anafanya mazungumzo naye lakini aligoma;
ndo mbowe kumpa suspension ya week
hawa ndo waliohusika kumpa likizo ya wiki moja baada ya kung'ang'ania msimamo wake
asante kwa kuwajua mliompa likizo ya wiki;
shame on you all; dr is still strong with the punishment of one week
mbowe aligoma kupiga naye picha jana
Amkeni nyie nyumbu crocodile...hiyo picha ya zamani sana...ilipigwa 2010..angalia tshirt za cdm mpya
Lazaro massay na sabina slaa hawapo hapo nawafahamu vizuriHao wanawake wawili ni madiwani wa viti maalum ARUSHA VIOLA LIKINDIKOKI na SABINA FRANCIS SLAA shemejiye.
Aliyevaa gwanda ni CALIST LAZARO katibu wa cdm mkoa ARUSHA.
Naona kama kuna mtu anaitwa LAZARO MASAI mwenyekiti wa halmashauri KARATU.
Na PHILEMON NDESAMBURO
Tuwashukuru kwa kumsabahi DR,pengine watakuwa na maelezo yake.
Mbona hii picha ni yamuda mrefu sana.
Karibu Dr wa ukweli tumekumiss sana ooooh Halleluya
Walikuwa wanakunywa chai?