Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,316
- 111,462
Kwa nini umeumia sana mkuu.
Kwani hulijui jukwaa la picha?
Kwa nini umeumia sana mkuu.
Imebidi Mtei apige magoti...Amakweli Slaa ni baba lao!!
Bado anapumzika baada ya kuenguliwa!
Ya leo au ya miaka? Naona Mzee Ndesa Pesa
Hii picha ya kitambo sana
Mambo yashaiva..... CCM watakufa safari hii
Imebidi Mtei apige magoti...Amakweli Slaa ni baba lao!!
Kama ni ya kitambo na hizo model mpya za tishet nazo ni za zamani
kaonekana wapi mbona bado yupo mafichoni hapo nikajua katoka njeee
Picha hii ni current? ... Mbowe amewiva kisiasa ... Slaa anafifia kifkra japokuwa anahitajika kwaajili ya kuhakikisha CCM wanaingia kaburini coming October ... Shuntama la Josephine balaa ...