Hatimaye Dr. Slaa aonekana, asema kuzungumza muda ukifika

Hatimaye Dr. Slaa aonekana, asema kuzungumza muda ukifika

hii picha mbona yakitambo? hizi propaganda za kipuuzi zinakera.
 
Hao wanawake wawili ni madiwani wa viti maalum ARUSHA VIOLA LIKINDIKOKI na SABINA FRANCIS SLAA shemejiye.

Aliyevaa gwanda ni CALIST LAZARO katibu wa cdm mkoa ARUSHA.

Naona kama kuna mtu anaitwa LAZARO MASAI mwenyekiti wa halmashauri KARATU.
Na PHILEMON NDESAMBURO

Tuwashukuru kwa kumsabahi DR,pengine watakuwa na maelezo yake.

Jipe moyo
 
Afadhali kama karudisha moyo uliotaka kipondeka,MUNGU amjaze u umilivu tusonge mbele.Dr.typo pamoja
 
Back
Top Bottom