Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,857
- 7,617
Habari zilizonifikia na za kuaminika ni kuwa Mchakato wa Cdm kuanzisha vyombo vyake vya habari uko kwenye hatua nzuri.
Vyombo hivyo vitakavyojulikana kama Chadema media kwa kuanza wataanza na Radio na tayari CDM wameshasainishana mkataba na kampuni ya TTCL ili ku lease spaces za transmission ya mawimbi yao.
TTCL ndio kampuni pekee tanzania yenye facility za nsmna hiyo ambapo Radio karibu zote nchini za serikali, vyama na watu binafsi hu lease spaces kwa ajili ya transmission.
HONGERENI CHADEMA!
UPDATES
Ukweli halisi wa habari hii baada ya kufuatilia kwa kina ni kuwa Bwana Mbowe kupitia kwa Mke wake Bi Lilian Mtei ndio wanaoanzisha redio yao na kwamba media yao itaitwa Kilimanjaro Media Group. Michakato ya kwenda TCRA na TTCL imeshafanyika tayari.