Nani kakwambia redio Uhuru ni wastaraabu, ikishafika kwenye kutangaza mambo ya siasa huwa wanatapika ugolo mchafu sana.waachwe waanzishe tu.ndo damocrasia.cha msingi tu watangaza ki staarabu kama redio Uhuru.
I hate radio Uhuru.
Nani kakwambia redio Uhuru ni wastaraabu, ikishafika kwenye kutangaza mambo ya siasa huwa wanatapika ugolo mchafu sana.waachwe waanzishe tu.ndo damocrasia.cha msingi tu watangaza ki staarabu kama redio Uhuru.
Mkuu ningependekeza iitweAnza kutoa pendekezo lako hapa
Mbona hujawahi kuyaoongea hayo wakati radio Uhuru na tawi lake la TBC, kwa miaka ypte hii vilipokuwa vikitangaza propaganda mbaya kabisa hata kwa kutaka kuliangamiza Taifa! lakini wao wakidhani ndiyo mbinu sahihi ya kuimaliza Chadema!Sasa CDN wanataka kuanzisha media, magamba mnaanza kuweweseka! Kwa hiyo kama CDM wameamua kuanzisha media zake, it is a big step to victory, in year 2015, Bravo Chadema!Sijui itakuwaje kwa sababu ninachokiona kama kila chama kitaanzisha chombo chake cha habri maana yake ni kwamba propaganda zitakuwa ni za kuwamga badala ya ukweli halisi,hapa lazima kuna kuhamasishana kuvunja amani.Wizara ya habari angalieni hili vinginevyo>>>>>>>>>>>>..........
Sijui itakuwaje kwa sababu ninachokiona kama kila chama kitaanzisha chombo chake cha habri maana yake ni kwamba propaganda zitakuwa ni za kuwamga badala ya ukweli halisi,hapa lazima kuna kuhamasishana kuvunja amani.Wizara ya habari angalieni hili vinginevyo>>>>>>>>>>>>..........
Media zote zenye mlengo wa kisiasa zingepigwa ban hii ni pamoja na tbccm
Sijui pesa hizi wanatoa wapi hawa jamaa?
Ohh no, moja ya mawazo ya hasara ni CDM kuwa na redio. Yani CDM kuwa na redio na CDM kuwa na gazeti ni mawazo ya kale sana
naona unazungumzia uzoefu wa radio uhuru.Sijui itakuwaje kwa sababu ninachokiona kama kila chama kitaanzisha chombo chake cha habri maana yake ni kwamba propaganda zitakuwa ni za kuwamga badala ya ukweli halisi,hapa lazima kuna kuhamasishana kuvunja amani.Wizara ya habari angalieni hili vinginevyo>>>>>>>>>>>>..........
Mkuu ningependekeza iitwe
1/CHADEMA Radio
2/UKOMBOZI Radio
3/MAGEUZI Radio
4/DEMOKRASIA Radio
5/MAENDELEO Radio
6/MTANZANIA Radio
7/TAIFA Radio
8/HARAKATI Radio
9/MABADILIKO Radio
10/HOJA Radio
Mkuu kila kitu na wakati wake!sijui walikuwa wapi muda wote huu
redio uhuru sanasana wanaisifia ccm na kuachia magoma.hawana ga uchocheziNani kakwambia redio Uhuru ni wastaraabu, ikishafika kwenye kutangaza mambo ya siasa huwa wanatapika ugolo mchafu sana.
I hate radio Uhuru.
Kama wakiitisha mkutano, au wakiandamana mnawaua kwa kutumia polisi, huoni kama kuwa na chombo cha habari ndiyo njia pekee ya kuwawezesha kufikisha ujumbe wao kwa jamii ambayo imeshindikana kuifikia kwa mikutano? Kwenye nchi za wenzetu unakuta wana redio zaidi ya 200 na hakuna huo uvunjifu wa amani, itakuwa hizi redio za vyama ambavyo havifiki hata hamsini? Kikubwa hapa ni vyombo hivyo kufuata sheria za nchi zinazohusiana na mambo ya utangazaji ili kwa namna yoyote wasichochee vurugu. Kama kuwa na vyombo vya habari ni hatari basi redio uhuru ingeshakuwa ilihatarisha amani siku nyingi sana.Sijui itakuwaje kwa sababu ninachokiona kama kila chama kitaanzisha chombo chake cha habri maana yake ni kwamba propaganda zitakuwa ni za kuwamga badala ya ukweli halisi,hapa lazima kuna kuhamasishana kuvunja amani.Wizara ya habari angalieni hili vinginevyo>>>>>>>>>>>>..........