Hatimaye CHADEMA kuanzisha media zake

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
18,857
7,615
Habari zilizonifikia na za kuaminika ni kuwa Mchakato wa Cdm kuanzisha vyombo vyake vya habari uko kwenye hatua nzuri.
Vyombo hivyo vitakavyojulikana kama Chadema media kwa kuanza wataanza na Radio na tayari CDM wameshasainishana mkataba na kampuni ya TTCL ili ku lease spaces za transmission ya mawimbi yao.

TTCL ndio kampuni pekee tanzania yenye facility za nsmna hiyo ambapo Radio karibu zote nchini za serikali, vyama na watu binafsi hu lease spaces kwa ajili ya transmission.

HONGERENI CHADEMA!

UPDATES
Ukweli halisi wa habari hii baada ya kufuatilia kwa kina ni kuwa Bwana Mbowe kupitia kwa Mke wake Bi Lilian Mtei ndio wanaoanzisha redio yao na kwamba media yao itaitwa Kilimanjaro Media Group. Michakato ya kwenda TCRA na TTCL imeshafanyika tayari.

Sijui itakuwaje kwa sababu ninachokiona kama kila chama kitaanzisha chombo chake cha habri maana yake ni kwamba propaganda zitakuwa ni za kuwamga badala ya ukweli halisi,hapa lazima kuna kuhamasishana kuvunja amani.Wizara ya habari angalieni hili vinginevyo>>>>>>>>>>>>..........
 
mbona hujatoa angalizo lako mapema? Mnafiki wewe
 
Sijui itakuwaje kwa sababu ninachokiona kama kila chama kitaanzisha chombo chake cha habri maana yake ni kwamba propaganda zitakuwa ni za kuwamga badala ya ukweli halisi,hapa lazima kuna kuhamasishana kuvunja amani.Wizara ya habari angalieni hili vinginevyo>>>>>>>>>>>>..........

Unamaanisha hata uhuru radio isitishwe? Point yako kama ina bias na ushadadiaji hivi. Gamba nini?
 
Wabheja sana chadema, hakika chadema media itaongezea kasi ya kuung'oa tawala fisadi na katili la ccm.
 
Unamaanisha hata uhuru radio isitishwe? Point yako kama ina bias na ushadadiaji hivi. Gamba nini?

Sidhani kuwa Gamba ni tatizo,kipendacho roho ni Dawa,naangalia mwelekeo wa siasa namna ulivyo kwa sababu wewe ni mmoja wapo ambaye unashdidia mambo kwa sababu tu eti wewe ni CDM!!!!!!!!!kwa taarifa yako kuna watu ni cdm lakini siku zote wanasimamia ukweli na si ushbiki.
 
Wabheja sana chadema, hakika chadema media itaongezea kasi ya kuung'oa tawala fisadi na katili la ccm.

Nakubaliana na wewe mkuu na wala sipingi hilo,lakini hoja yangu hapa ni kwamba kuna hatri ya media hizo kufanya mashindno sasa ya kila mmoja kuvutia kwake kitu ambacho binafsi nakiona kama ni hatari na inaweza kufikia mahali hata zikaanza kuwachochea watu.nadhani umeshaanza kuona hata badhi ya vyombo vya habari?
 
Ohh no, moja ya mawazo ya hasara ni CDM kuwa na redio. Yani CDM kuwa na redio na CDM kuwa na gazeti ni mawazo ya kale sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom