Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,212
- 162,791
Bila kujali matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu, ili kukijenga zaidi chama na ili tuweze kupambana vizuri zaidi na chama kama CCM katika chaguzi zijazo, tunahitaji kuwa na vyombo vyetu wenyewe vya habari kama vile magazeti,Television,Radio na pia tuwe na walau mtandao mmoja wa kijamii ambao utakuwa ni Forum huru kwa wananchi wa vyama vyote kuutumia.
Nashauri hivi kwasababu nimegundua kuwa tunahitaji kuwa na media zetu wenyewe ili tuweze kupambana ipasavyo na hawa wenzetu wenye uwezo wa kuteka media kwasababu ya uwezo mkubwa wa kifedha waliona.
Chama kinaweza kuandaa mkakati ikiwa ni pamoja na kushirikisha wananchi kupitia Harambee mbali mbali,kutafuta wafadhili na njia zingine zitakazofaa kufanikisha mkakati huu.
Utekelezaji wa mipano mingine unaweza kuwa ni wa muda mfupi kama vile kuanzisha Forum na mingine inaweza kuwa ni ya muda mrefu kama vile kuwa na Televisio kwani mpango huu unaweza kuwa ni wa gharama zaidi lakini naamini hakuna kinachoshindikana.
Hata hivyo,kabla ya kufikiri kuanza utekelezaji wa mipango hii,CHADEMA lazima sasa wajipange kuwa na jengo lao wenyewe kama Makao Makuu ya Chama.
Itapendeza zaidi kama watafikiri kujenga jengo la gorofa mbili mbili au tatu na hata zaidi kama wataweza na baadhi ya floor wakazipangisha ikawa ni mradi endelevu wa chama na hela watakazozipata zikatumika kuanzisha hizo media pamoja na kuendesha shughuli nyingine za chama.
Naamni tumechelewa tena sana tu ila wazungu wanasema, "better late than never".
Narudi,uchaguzi ukiisha,bila kujali tumeshinda au tumeshindwa,tuanze kufikiria uchaguzi wa 2020 na mbinu zake.
CHADEMA, as a political party,we need transformation;more important,we need to invest for the better future of our party.
Fund raising kila mwaka wa uchaguzi haipendezi na watu watatuchoka na watuona hatuna mipango ya kujiendesha kwa fedha zetu wenyewe zaidi ya kutegemea ruzuku na michango mbalimbali.
CHADEMA, sasa tufanye Fund Raising kwa ajili ya kujijengea uwezo wa kiuchumi na si tena kwa ajili ya kujiendesha kama chama.