Wizzard Wweed
Senior Member
- Oct 19, 2012
- 106
- 17
sijui walikuwa wapi muda wote huu
hata roma haikuanza dunia ilipoanza.
sijui walikuwa wapi muda wote huu
Sijui itakuwaje kwa sababu ninachokiona kama kila chama kitaanzisha chombo chake cha habri maana yake ni kwamba propaganda zitakuwa ni za kuwamga badala ya ukweli halisi,hapa lazima kuna kuhamasishana kuvunja amani.Wizara ya habari angalieni hili vinginevyo>>>>>>>>>>>>..........
*Ohh no, moja ya mawazo ya hasara ni CDM kuwa na redio. Yani CDM kuwa na redio na CDM kuwa na gazeti ni mawazo ya kale sana
mkuu mbona unajihami sana????!!!,ningetoaje angalizo kama hoja hiyo ilikuwa haijatolewa????!!!
Sijui itakuwaje kwa sababu ninachokiona kama kila chama kitaanzisha chombo chake cha habri maana yake ni kwamba propaganda zitakuwa ni za kuwamga badala ya ukweli halisi,hapa lazima kuna kuhamasishana kuvunja amani.Wizara ya habari angalieni hili vinginevyo>>>>>>>>>>>>..........
Magamba juzi walisema wako mbioni kuanzisha na TV station yao mkakaa kimya, kwa Chadema iwe nongwa. Tunataka wananchi wengi zaidi wajue uovu wa serikali ya magamba, lazima watanzania ujinga unaotumiwa na magamba kupata kura uwatoke kupitia Chadema media.Sijui itakuwaje kwa sababu ninachokiona kama kila chama kitaanzisha chombo chake cha habri maana yake ni kwamba propaganda zitakuwa ni za kuwamga badala ya ukweli halisi,hapa lazima kuna kuhamasishana kuvunja amani.Wizara ya habari angalieni hili vinginevyo>>>>>>>>>>>>..........
Sidhani kuwa Gamba ni tatizo,kipendacho roho ni Dawa,naangalia mwelekeo wa siasa namna ulivyo kwa sababu wewe ni mmoja wapo ambaye unashdidia mambo kwa sababu tu eti wewe ni CDM!!!!!!!!!kwa taarifa yako kuna watu ni cdm lakini siku zote wanasimamia ukweli na si ushbiki.
Habari zilizonifikia
na za kuaminika ni kuwa Mchakato wa Cdm kuanzisha vyombo vyake vya
habari uko kwenye hatua nzuri.
Vyombo hivyo vitakavyojulikana kama Chadema media kwa kuanza wataanza na
Radio na tayari CDM wameshasainishana mkataba na kampuni ya TTCL ili ku
lease spaces za transmission ya mawimbi yao.
TTCL ndio kampuni pekee tanzania yenye facility za nsmna hiyo ambapo
Radio karibu zote nchini za serikali, vyama na watu binafsi hu lease
spaces kwa ajili ya transmission.
HONGERENI CHADEMA!
Sijui pesa hizi wanatoa wapi hawa jamaa?
Habari zilizonifikia na za kuaminika ni kuwa Mchakato wa Cdm kuanzisha vyombo vyake vya habari uko kwenye hatua nzuri.
Vyombo hivyo vitakavyojulikana kama Chadema media kwa kuanza wataanza na Radio na tayari CDM wameshasainishana mkataba na kampuni ya TTCL ili ku lease spaces za transmission ya mawimbi yao.
TTCL ndio kampuni pekee tanzania yenye facility za nsmna hiyo ambapo Radio karibu zote nchini za serikali, vyama na watu binafsi hu lease spaces kwa ajili ya transmission.
HONGERENI CHADEMA!
Na kwa kuonyesha uzalendo ningewashauri vituo vya redio na tv vya chadema viitwe kwa majina ya kiswahili kuonyesha tunadhamini kiswahili chetu.
Mpaka kituo cha taifa kinaitwa kwa majina ya kigeni kwani sisis ni waingereza?
waachwe waanzishe tu.ndo damocrasia.cha msingi tu watangaza ki staarabu kama redio Uhuru.Sijui itakuwaje kwa sababu ninachokiona kama kila chama kitaanzisha chombo chake cha habri maana yake ni kwamba propaganda zitakuwa ni za kuwamga badala ya ukweli halisi,hapa lazima kuna kuhamasishana kuvunja amani.Wizara ya habari angalieni hili vinginevyo>>>>>>>>>>>>..........