DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 1,487
- 2,739
Hello wakuu Leo vyombo vyote vya habari, wametumia nafasi Yao vizur kujulisha wananchi Juu ya ujio, Mapokezi ya Makamu mwemyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu. Pamoja na Mkutano uliofanyika huko Temeke.
Lakini Cha kusikitisha Clouds Media imeungana na tbc hawakuipa umuhimu habari hiyo.
Katika kurasa Rasmi za Clouds Media, ukianzia clouds radio hawajairipoti kabisa. Clouds tv wameripoti kipande kidogo sana wakati wa Mapokezi yaan kama Tetesi tu.
Je Kuna Nini kinaendelea kati ya Clouds na Chadema maana hata wakati wa MC wa Chadema alitoa shukran Kwa vyombo vya habari haikutaja Millard ayo.Com ambao pia Walifanya coverage ya Mkutano wao live.
Je Kuna mgogoro wa chini Kwa chini? Au CHADEMA Imejitenga na Clouds ama Clouds ndio Imejitenga na Chadema.
Au ni kuogopa kupaka pilipili kwenye kibuyu Cha asali