Hatimaye CHADEMA kuanzisha media zake

Hatimaye CHADEMA kuanzisha media zake

Sipendi kuendelea kubishania hilo kwa kuwa utaratibu wa nani ni nani na hatua zipi za kufanya ili mtu amiliki radio au tv ni moja ya kazi zangu za kila siku. Nina hakika na ninachosema 100%. Tusubiri tutaona matokeo ya kupata umiliki wa electronic media kupitia TTCL. Hao wanaomiliki hakuna hata mmoja aliyepitia njia hiyo!!

Mkuu kwa hiyo unataka kutuambia TTCL haihusiki kabisa? Na kama haihusiki je Wamiliki wa Redio huwa wanatoa wapi zile Frekwensi?
Ungetuambia A to Z ishu ya wewe kuwa mkuu wa kutoa vivari vya Radio hautuhusu sana ila tunacho taka mwaga utaratibu kamili
 
Achana nae huyo.........
 
swali siyo kuwa nayo; swali ni je wasikilizaji/watazamaji wataunga mkono wadhamini na kuwa tayari kulipia gharama ya kuendesha? Maana kama mashirika makubwa yatajikuta hayawezi kutangaza biashara zao humo media ya aina hiyo inaweza kujikuta inakufa kifo cha kutegewa.
Hilo sidhani kama linashaka sana kwani Serikali wanatangaza kupitia Gazeti la Tanzania Daima na pia pamoja na msimamo wake mkali bado walikuwa wanatangaza kupitia Gazeti la Mwanahalisi, kikubwa ni kuwa na program nzuri na zenye ubora mkubwa!!
 
sidhani kama unajua tofauti kati ya leseni ya utangazaji
na lesseni ya kutumia facility au kibali cha kutumia mitambo ya incumbent provider
kama unafanya kazi TCRA basi we ni kihiyo inabidi tuje kuwatoa humo ofisinin
nyie mndo mnaofanya kazi bila kusomea
ulichoandika ni kituko kama mnafanya hivo
wataalamu wa ICT tupo nashangaa serikali inaajiri vihiyo
Sipendi kuendelea kubishania hilo kwa kuwa utaratibu wa nani ni nani na hatua zipi za kufanya ili mtu amiliki radio au tv ni moja ya kazi zangu za kila siku. Nina hakika na ninachosema 100%. Tusubiri tutaona matokeo ya kupata umiliki wa electronic media kupitia TTCL. Hao wanaomiliki hakuna hata mmoja aliyepitia njia hiyo!!
 
habari zilizonifikia na za kuaminika ni kuwa mchakato wa cdm kuanzisha vyombo vyake vya habari uko kwenye hatua nzuri.
Vyombo hivyo vitakavyojulikana kama chadema media kwa kuanza wataanza na radio na tayari cdm wameshasainishana mkataba na kampuni ya ttcl ili ku lease spaces za transmission ya mawimbi yao.

Ttcl ndio kampuni pekee tanzania yenye facility za nsmna hiyo ambapo radio karibu zote nchini za serikali, vyama na watu binafsi hu lease spaces kwa ajili ya transmission.

Hongereni chadema!

pamoja na hilo,vp tanzania daima nayo hawafikiria kuiiboresha??
 
Mkuu kwa hiyo unataka kutuambia TTCL haihusiki kabisa? Na kama haihusiki je Wamiliki wa Redio huwa wanatoa wapi zile Frekwensi?
Ungetuambia A to Z ishu ya wewe kuwa mkuu wa kutoa vivari vya Radio hautuhusu sana ila tunacho taka mwaga utaratibu kamili
Ni kweli kuwa TTCL haihusiki kabisa. Vibali vyote na masafa vinatolewa na TCRA. Hili ni suala la kitaalamu na kiutaratibu wa utendaji. Kwa vile mleta hoja anasema kuwa wameingia mikataba na TTCL ndo nasema tusubiri tuone badala ya kubishana. Ila mi niko huku jikoni naelewa nisemacho.
 
sidhani kama unajua tofauti kati ya leseni ya utangazaji
na lesseni ya kutumia facility au kibali cha kutumia mitambo ya incumbent provider
kama unafanya kazi TCRA basi we ni kihiyo inabidi tuje kuwatoa humo ofisinin
nyie mndo mnaofanya kazi bila kusomea
ulichoandika ni kituko kama mnafanya hivo
wataalamu wa ICT tupo nashangaa serikali inaajiri vihiyo
Hili si suala la kisiasa bali la kitaalam na kiutaratibu wa utendaji. ili kukuelewesha, hebu nenda kwa mmiliki yeyote wa Radio au Tv akusimulie kama aliwahi kuwasiliana na TTCL katika harakati zake za kutafuta vibali. Nenda TCRA uwaulize maana huwa wanajibu maswali ya kila mtu watakuambia kuwa ninayosema ni kweli. Nenda pia TTCL wauluze kama wanahusika na frequency za electronic media. Watakueleza ukweli. Hawahusiki!!!
 
Am I taking politics here?
kazi ya TTCL kama network provider ni nini?
unataka kusema kila mwenye radio au tv ana network yake mwenyewe
independent na hawategemei TTCL kwa chochote?
kama ni hivo basi wamiliki wa radio na tv Tanzania ni matajiri wa kutupwa.
na kwao Competititon rules on electronic communication haiwahusu
hebu fafanua kwa kina.

Yatosha!!!

Sijui itakuwaje kwa sababu ninachokiona kama kila chama kitaanzisha chombo chake cha habri maana yake ni kwamba propaganda zitakuwa ni za kuwamga badala ya ukweli halisi,hapa lazima kuna kuhamasishana kuvunja amani.Wizara ya habari angalieni hili vinginevyo>>>>>>>>>>>>..........

(vinginevyo..")
watu hawatasikiliza uhuru fm ( ingawa sidhani atakama inawasikilizaji wenye akili timamu)

V
SENGEREMA..
 
Wangeanzisha TV kwa wakati huu ingekuwa poa sana kwa sasa kwa mazingira ya TZ, Television ndio chombo chenye nguvu kuliko radio hasa tunapoelekea uchaguzi 2015. Radio ndio ingekuja kama hatua ya pili.
 
Kama kutakuwa na Redio za Vyama, Redio za Dini, redio za watu binafsi Redio za Jamii, Redio za Serikali Redio za Kimataifa basi kuna siku hata Makabila yatasajili Redio zao.
 
nanusa harufu ya matangazo yao kuhujumiwa na hao ttcl(wajuzi wa IT nisaidieni hapa)
 
Kama kutakuwa na Redio za Vyama, Redio za Dini, redio za watu binafsi Redio za Jamii, Redio za Serikali Redio za Kimataifa basi kuna siku hata Makabila yatasajili Redio zao.

Yaani hayo yooooote yamekushuka baada ya kusikia Chadema wanaanzisha media zao! CCM izime kwanza "vyombo" vyake vyote vya propaganda chafu halafu vyombo vya taifa vitende HAKI kwa makundi yote halafu ndio ulete hayo maoni yako hapa.
 
Habari zilizonifikia na za kuaminika ni kuwa Mchakato wa Cdm kuanzisha vyombo vyake vya habari uko kwenye hatua nzuri.
Vyombo hivyo vitakavyojulikana kama Chadema media kwa kuanza wataanza na Radio na tayari CDM wameshasainishana mkataba na kampuni ya TTCL ili ku lease spaces za transmission ya mawimbi yao.

TTCL ndio kampuni pekee tanzania yenye facility za nsmna hiyo ambapo Radio karibu zote nchini za serikali, vyama na watu binafsi hu lease spaces kwa ajili ya transmission.

HONGERENI CHADEMA!

- Si walikuwa na Media tayari haitoshi? Mwananchi, MWanahalisi, Tanzania Daima yote hayo haijatosha?

Le Mutuz!!
 
Sijui itakuwaje kwa sababu ninachokiona kama kila chama kitaanzisha chombo chake cha habri maana yake ni kwamba propaganda zitakuwa ni za kuwamga badala ya ukweli halisi,hapa lazima kuna kuhamasishana kuvunja amani.Wizara ya habari angalieni hili vinginevyo>>>>>>>>>>>>..........

Vipi kuhusu TBC Media, Uhuru radio na Magazine, mbona hadi leo vipo?
 
Back
Top Bottom