Hatimaye CHADEMA kuanzisha media zake

Hatimaye CHADEMA kuanzisha media zake

Kilimanjaro Media Group is in the business of providing truly informative and exalting content to all people and organizations, businesses and investors desiring to learn and educate themselves about modern Africa.
Big challenge, isn’t it? We are however confident that by showcasing Africans who thrive and succeed, by shedding light on myths and misconceptions that,for too long, have plagued the image of Africa and by bridging the African diaspora with Africans on the continent, we will be able to present the world with news, images, sounds and videos that positively show the vibrancy, diversity and the real promise of the African people and the Africans in the diaspora. Moreover Kilimanjaro Media and its main legs Kili TV, Kili Radio and Kili Video Productions intend to serve as resource for any organization entities looking to reach a large audience of Africans living in the United States, in Latin America, in the Caribeans and in Europe.
So enjoy, contribute and submit ideas and feedback. Most importantly, support us by donating to our biggest short term dream yet: putting Kili News on the cable by 2015!
 
Huyo Le mutuz akili yake haiposawa hasa anapokuwa hajashikishwa ukuta na kupumuliwa kisogon
 
Ni hatua nzuri sana,hasa wakati huu wa propaganda za CCM. Japo mmechelewa lakini muanzie hapo hapo.
 
Wanabodi heshima mbele sana,

Ni kwa nini Chama kikuu cha upinzani nchini, kilichoanzishwa takribani miaka 22 iliyopita hakimiliki chombo chochote cha habari na badala yake kimekuwa kikitegemea vyombo binafsi na vya serikali, Nadhani wakati tunaelekea uchaguzi mkuu wa 2015 ingekuwa ni jambo la busara kwa CDM kuanzisha chombo cha habari, kama gharama ya Radio na TV ziko juu basi ianzishe hata GAZETI dogo kama "Tanzania Daima"

Na hakika wanachama na hata vyama marafiki vya Uingereza na Ujerumani vitakuwa radhi kuunga mkono jitihada hizi.

Naomba kuwakilisha.
 
Kuna fedha Ilitumwa na wafadhili wa CHADEMA kutoka ujerumani kwa ajili ya kuanzisha chombo cha habari cha CHADEMA, lakini instead MBOWE akazitumia kuanzisha gazeti lake lililojulikana kama TANZANIA DAIMA.
 
Ushauri wako ni mzuri lakini Unaposema chama kina miaka 22 tangu kianzishwe hakina chombo cha Habari ni vema ungejiuliza na hiki chenye miaka 39 yaani CCM kina chombo cha Habari? kwani tumeona matumiza mabaya yanayofanywa na CCM kwenye vyombo vya Taifa (serikali) kwani wanavitumia kwa maslahi yao kinyume na taratibu kwani vinatumia kodi zetu wote hata tusioitaka CCM tunachangia.

Kuna fedha Ilitumwa na wafadhili wa CHADEMA kutoka ujerumani kwa ajili ya kuanzisha chombo cha habari cha CHADEMA, lakini instead MBOWE akazitumia kuanzisha gazeti lake lililojulikana kama TANZANIA DAIMA.

Huna lolote zaidi ya ujinga hivi unashindwa kujiuliza kwa nini lichama lako yaani liCCM hamna chombo cha Habari? Kwa hiki cha kusema Mbowe alipewa fedha kutoka nje ni mambo yenu yaleyale ya uzushi ambayo sisi wenye akili timamu hatutayaamini na subiri pale Kibaraka wenu atakapopelekwa mahakamani ili athibitishe kama Mbowe alipewa fedha na Nimrod Mkono na Rostam ndipo mtakapoacha uzushi wenu.
 
Inavyo lakini mbowe kavipora nakufanya mali yake mfano gazeti la udaku la tanzania daima.
 
Ushauri wako ni mzuri lakini Unaposema chama kina miaka 22 tangu kianzishwe hakina chombo cha Habari ni vema ungejiuliza na hiki chenye miaka 39 yaani CCM kina chombo cha Habari? kwani tumeona matumiza mabaya yanayofanywa na CCM kwenye vyombo vya Taifa (serikali) kwani wanavitumia kwa maslahi yao kinyume na taratibu kwani vinatumia kodi zetu wote hata tusioitaka CCM tunachangia

Kaka hawa wana Gazeti la UHURU, MZALENDO na Radio UHURU
 
Habari zilizonifikia na za kuaminika ni kuwa Mchakato wa Cdm kuanzisha vyombo vyake vya habari uko kwenye hatua nzuri.
Vyombo hivyo vitakavyojulikana kama Chadema media kwa kuanza wataanza na Radio na tayari CDM wameshasainishana mkataba na kampuni ya TTCL ili ku lease spaces za transmission ya mawimbi yao.

TTCL ndio kampuni pekee tanzania yenye facility za nsmna hiyo ambapo Radio karibu zote nchini za serikali, vyama na watu binafsi hu lease spaces kwa ajili ya transmission.

HONGERENI CHADEMA!

UPDATES
Ukweli halisi wa habari hii baada ya kufuatilia kwa kina ni kuwa Bwana Mbowe kupitia kwa Mke wake Bi Lilian Mtei ndio wanaoanzisha redio yao na kwamba media yao itaitwa Kilimanjaro Media Group. Michakato ya kwenda TCRA na TTCL imeshafanyika tayari.

Sasa cdm ni lini watakua na media zao??
 
Kwa hili chama changu kilikosea sana kutoanzisha au kuchukua leseni ya tv or radio mapema maana kwa sasa chama kilivyo juu ni vigumu sana kupewa leseni chini ya serikali hii ya maccm,hata kukodi kipindi ndani ya tv nako huwa kunaleta matatizo sana kwa wamiliki wa vyombo hivyo,pamoja na mapungufu yote watanzania wengi wanaoipenda cdm wamejikuta wao ndiyo vyombo vya habari vya cdm indirect which is good kwa vile magamba hii style wamekuja kuinasua juzi juzi tu.

Ccm ina vyombo vyake,radio uhuruFm na gazeti la uhuru,na vingine japo sio rasimi eg,tbc1,tbc2,mzalendo,dairy news,kwa kushirikiana na new habari cooperation chini ya RA,sema kwa vile sauti ya wengi ni sauti ya mungu cdm imeyashinda yote haya kwa kusaidiwa na Tanzania daima,-----------(miss u my true friend) ----- na wananchi nje na ndani ya tanzania hasa vijana.
 
Wanabodi heshima mbele sana,

Ni kwa nini Chama kikuu cha upinzani nchini, kilichoanzishwa takribani miaka 22 iliyopita hakimiliki chombo chochote cha habari na badala yake kimekuwa kikitegemea vyombo binafsi na vya serikali, Nadhani wakati tunaelekea uchaguzi mkuu wa 2015 ingekuwa ni jambo la busara kwa CDM kuanzisha chombo cha habari, kama gharama ya Radio na TV ziko juu basi ianzishe hata GAZETI dogo kama "Tanzania Daima"

.
Wewe mtu ni mchokozi sana.
Au labda badala ya kupanga jengo la ofisi, wangejenga jengo lao kama lile la club bilicanas.
 
Back
Top Bottom