Hatimaye CHADEMA kuanzisha media zake

Hatimaye CHADEMA kuanzisha media zake

Sasa kama una amini kwa nini unauliza, Sambai acha masihara Mkuu.

Kua na imani juu ya jambo fulani haina maana ya kutotimiza wajibu.

Ni hivi, Juma ni muisilamu na imani yake ni kwamba siku ya kiama ataiona pepo, Lakini kuwa na imani ya kuiona pepo haimfanyi Juma asiende msikitini.
 
Hata hujuwi kuwa hayo ni magazeti ya CCM! Any way CDM wanamiliki Uhuru na Mzalendo! Umefurahi kusikia Hilo? Maana mnataka kusikia positive analysis tu

Ficha upumbavu wako.

Jamaa pale juu alikuwa anadai CCM hawana vyombo vya habari na mimi nikamuorodheshea Uhuru, Mzalendo na Radio Uhuru, uwe unasoma kwa makini, hata mtoto wa Chekechea anajua juu ya hili.
 
Badala ya kuwaambia kwanza wajenge ofisi unakimbilia chombo cha habari, halafu acha unazi CCm wanvyo vyombo vingi vya habari. Tanzania Daima si gazeti la la cdm? Maana tunajua m,taji ulikuwa wa chama Dj akawatapeli kama kawaida yake na mburura nyie pamoja na kwamba hamumwelewi lakini mnamwamini. Ahaaaaaaaaaaa
 
Ushauri wako ni mzuri lakini Unaposema chama kina miaka 22 tangu kianzishwe hakina chombo cha Habari ni vema ungejiuliza na hiki chenye miaka 39 yaani CCM kina chombo cha Habari? kwani tumeona matumiza mabaya yanayofanywa na CCM kwenye vyombo vya Taifa (serikali) kwani wanavitumia kwa maslahi yao kinyume na taratibu kwani vinatumia kodi zetu wote hata tusioitaka CCM tunachangia.



Huna lolote zaidi ya ujinga hivi unashindwa kujiuliza kwa nini lichama lako yaani liCCM hamna chombo cha Habari? Kwa hiki cha kusema Mbowe alipewa fedha kutoka nje ni mambo yenu yaleyale ya uzushi ambayo sisi wenye akili timamu hatutayaamini na subiri pale Kibaraka wenu atakapopelekwa mahakamani ili athibitishe kama Mbowe alipewa fedha na Nimrod Mkono na Rostam ndipo mtakapoacha uzushi wenu.

hujui ulichokiandika CCM ina Radio, magazeti etc
 
website tu inawashinda ndio wamiliki radio? bora mengi anawapa promo kidogo....na gazeti alilojimilikisha mbowe tanzania daima
 
CCM wamepora Mali za Watanzania na kuzifanya zao leo wanatamba humu eti ............ kwa nini CDM hawana vyombo vya habari. Hayo magazeti ya uhuru na mzalendo ni lini yalianza kuwa ya chama!!?? Watanzania walichngishwa sana enzi zile za chama kimeshika UTAMU kupitia manunuzi ya biadhaa adimu kwa wakati ule kama vile sukari, unga wa ngano n.k. Kwa ujumla CCM haistahili kumiliki mali nyingi zilizopatikana kabla ya 1992.
 
Wanabodi heshima mbele sana,

Ni kwa nini Chama kikuu cha upinzani nchini, kilichoanzishwa takribani miaka 22 iliyopita hakimiliki chombo chochote cha habari na badala yake kimekuwa kikitegemea vyombo binafsi na vya serikali, Nadhani wakati tunaelekea uchaguzi mkuu wa 2015 ingekuwa ni jambo la busara kwa CDM kuanzisha chombo cha habari, kama gharama ya Radio na TV ziko juu basi ianzishe hata GAZETI dogo kama "Tanzania Daima"

Na hakika wanachama na hata vyama marafiki vya Uingereza na Ujerumani vitakuwa radhi kuunga mkono jitihada hizi.

Naomba kuwakilisha.
Mfumo wa Vyama vingi umekwa ili mtu asiwe Mwanachama na Shabiki wa Vyama viwili at a time t
Mwana CCM yeyote ambaye anaoneka kushabikia issue ya Zitto na CHADEMA huyo ni Malaya wa Kisiasa


By Cyril Chami


Hii inakuhusu sana Mrembo Sr. Magdalena
 
Last edited by a moderator:
ianzishe gazeti halafu Tanzania daima ikale wapi?
 
Wazo nzuri kwa chadema kuanzisha media....
 
Huwa nawaza kwa mfano hata Jf ikawa haipo sijuhi inakuwaje, kusema kweli ni haibu na chama kiikubali
 
Kikwazo cha Chadema kuanzisha vyombo vya habari, ni CCM. Hii siyo siri! Masafa ya radio na TV yako chini ya TCRA inayopewa maelekezo yote na CCM. Kuipa Chadema masafa ya radio na TV, ni sawa na kumpa silaha kali adui yako ili akuchinje wewe mwenyewe! Huyo aliyelifungia Gazeti la -----------milele, eti leo akubali lisajiliwe Gazeti la Chadema per se! Thubutu! Hizo ni ndoto za Alinacha! Ni mpaka Civil disobedience!
 
Kuna fedha Ilitumwa na wafadhili wa CHADEMA kutoka ujerumani kwa ajili ya kuanzisha chombo cha habari cha CHADEMA, lakini instead MBOWE akazitumia kuanzisha gazeti lake lililojulikana kama TANZANIA DAIMA.

Ukiulizwa chanzo, utaanza kutafuna vidole kama unataka kutongozwa!
 
Hata Viongozi wa CHADEMA hawaamini kuwa CHADEMA kitakuwepo kesho, ndio maana hawataki kuwa na mali za CHAMA zisizohamishika.
 
Wanabodi heshima mbele sana,

Ni kwa nini Chama kikuu cha upinzani nchini, kilichoanzishwa takribani miaka 22 iliyopita hakimiliki chombo chochote cha habari na badala yake kimekuwa kikitegemea vyombo binafsi na vya serikali, Nadhani wakati tunaelekea uchaguzi mkuu wa 2015 ingekuwa ni jambo la busara kwa CDM kuanzisha chombo cha habari, kama gharama ya Radio na TV ziko juu basi ianzishe hata GAZETI dogo kama "Tanzania Daima"

Na hakika wanachama na hata vyama marafiki vya Uingereza na Ujerumani vitakuwa radhi kuunga mkono jitihada hizi.

Naomba kuwakilisha.

Vilivyopo ambavyo si vya CCM vinatumika vema katika harakati za ukombozi!!
 
Back
Top Bottom