Lokissa
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 7,445
- 2,507
Kirumo usidanganye umma hapa
TCRA ni licence provider
TTCL ni access/network provider kwenye facility yao to mean telecommunication network.
kwa Tanzania na duniani kwa ujumla huwa vyombo vya habari na mawasiliano wanashea network ambayo
mara nyingi inakuwa owned na state hapa namaanisha TTCL kwa Tanzania.Its not easy kwa kila kampuni kujenga
network yao sheria za ushindani haziko hivo.

Sidhani kuwa kuna ukweli kwani TTCL hawahusiki kabisa na hilo! Wanaohusika ni TCRA! Kama CDM wameingia mkataba na TTCL wametapeliwa!!