Hatimaye CHADEMA kuanzisha media zake

Hatimaye CHADEMA kuanzisha media zake

Mkuu wewe mbona uko na Negative thinking tu?
Kwa nini uko hivi?
Mkuu acha roho ya korosho.

Hoja hapa ni CHADEMA wako mbioni kuanzisha Media zao, kwa malengo mazuri kabisa, badala ya kupongeza na kutoa ushauri bora, wewe unatoa maoni ya vyombo hivi kufungiwa!!

Ndugu yangu acha roho mbaya.

Mkuu mbona "unabembeleza"? Gamba hukemewa kwa nguvu zote wala halibembelezwi. Acha ku-negotiate na gamba ndugu yangu; umaskini ulio nao ni matokeo ya magamba; wazee wetu wanaoteseka vijijini na mijini ni matokeo ya sera zao; wana na mabinti zetu wasio na mbele wala nyuma ni sera na mfumo wao mbovu. Acha ku-argue na gamba Mkuu.
 
TTCL ni incumbert na owner of networking facility to mean telecommunication facility
ndio anawajibika kutoa access to the new entrants to the market
the same amefanya kwa makampuni ya simu na tv au radio
sio kwa Tanzania tu nchi karibu zote duniani serikali mara nyingi ndio owner wa telecomunication facilty
kwani sio rahisi kwa kila kampuni kujenga network mpya ni garama sana
na kama owner haruhusiwi kumnyima nafasi kwa kampuni mpya inayotaka kulease labda kuwe na sababu ya msingi
kama kuelemewa nk. Big up chadema fanyeni fasta
Habari zilizonifikia na za kuaminika ni kuwa Mchakato wa Cdm kuanzisha vyombo vyake vya habari uko kwenye hatua nzuri.
Vyombo hivyo vitakavyojulikana kama Chadema media kwa kuanza wataanza na Radio na tayari CDM wameshasainishana mkataba na kampuni ya TTCL ili ku lease spaces za transmission ya mawimbi yao.

TTCL ndio kampuni pekee tanzania yenye facility za nsmna hiyo ambapo Radio karibu zote nchini za serikali, vyama na watu binafsi hu lease spaces kwa ajili ya transmission.

HONGERENI CHADEMA!
 
Hivi kwani wewe huoni kwamba mawazo yko ni negative???!! au unaona kwa upande wangu tu??Sikia siko kwa ajili ya kukufurahisha wewe na kampani yako niko kwa ajili ya kusimamia kile ninachokiamini mimi binafsi nipe hoja nitakuelewa,lakini sio kuja na ushbiki wako hapo.kwa tarifa yako usije ukadhani kuunga mkono kila hoja ndio kujenga chama!!!!!!!!!THINK BIG!!!!!!!!
Mkuu hapa issue sio chama gani cha siasa, issue ni hatua ambayo Chadema wanataka kuifikia ambayo CCM walishaikamilisha miaka 12 iliyopita(eg.Radio Uhuru)

Ukweli ni kwamba kukua kwa technologia ya mawasiliano ni mwiba mchungu sana kwa CCM na watawala dhalimu.

Mkuu tukae tayaritayari kwa Chadema media.
 
Wakuu kuanzisha redio ni jambo moja tena zuri sana, tunataka ifike sehemu zaidi za Tanzania na sio kubakia mijini tu kama Dar, Arusha na Mwanza,

Tunataka ifike zaidi ya asilimia hamsini ya vijiji vya Tanzania ili kila mwanakijiji apate ''Dawa'' ili kuindoa ''Sumu'' aliyorishwa na magamba.
 
Mkuu mbona radio imaan ipo kitambo na imekuwa ikichochea vurugu za kidini bila wizara ya habari kujali...inakuwaje unatoa angalizo baada ya kusikia cdm wanamchakato huo..unataka tuamini kwamba cdm ni chama cha vurugu!!!???Acha undumila kuwili, naona tangu ushuhudie kwa macho yako kata ya Lwenzera ikirudi ccm hivi majuzi umeanza kuyumba.amua moja rudi gamba sisi tunalisongesha makamanda huwa hatukati tamaa, even rome wasn't built for a day bwana.

Hivi Mkuu kata ya Lwenzera(Lwezera HILI NDIO JINA LAKE HALISI) ilikuwa mikononi mwa Upinzani au hapa unamaanisha nini????!!!!
 
Habari zilizonifikia na za kuaminika ni kuwa Mchakato wa Cdm kuanzisha vyombo vyake vya habari uko kwenye hatua nzuri.
Vyombo hivyo vitakavyojulikana kama Chadema media kwa kuanza wataanza na Radio na tayari CDM wameshasainishana mkataba na kampuni ya TTCL ili ku lease spaces za transmission ya mawimbi yao.

TTCL ndio kampuni pekee tanzania yenye facility za nsmna hiyo ambapo Radio karibu zote nchini za serikali, vyama na watu binafsi hu lease spaces kwa ajili ya transmission.

HONGERENI CHADEMA!
Mkuu, CCM wasije wakapiga Fitna TTCL na Link za CDM kuwa down mara kwa mara especially during Harakat za M4C
All in all, this is Good start.
PEOPLEEEEEEESSSSSSSSSSSS
 
maana kuna maswala itabidi yatolewe maelekezo live pia kuna upotoshsji wa TBC na RADIO UHURU utapungua
 
Sijui itakuwaje kwa sababu ninachokiona kama kila chama kitaanzisha chombo chake cha habri maana yake ni kwamba propaganda zitakuwa ni za kuwamga badala ya ukweli halisi,hapa lazima kuna kuhamasishana kuvunja amani.Wizara ya habari angalieni hili vinginevyo>>>>>>>>>>>>..........
It is about time CCM kumeza kaa la moto for sure if at all the news is true
 
TTCL ni incumbert na owner of networking facility to mean telecommunication facility
ndio anawajibika kutoa access to the new entrants to the market
the same amefanya kwa makampuni ya simu na tv au radio
sio kwa Tanzania tu nchi karibu zote duniani serikali mara nyingi ndio owner wa telecoomunicatin facilty
kwani sio rahisi kwa kila kampuni kujenga network mpya ni garama sana
na kama owner haruhusiwi kunyima mafasi kwa kampuni mpya inayotaka kulease labda kuwe na sababu ya msingi
kama kuelemewa nk. Big up chadema fanyeni fasta
Ni kweli kabisa mkuu, hakuna la uongo hata moja katika post yako
 
Sasahivi digital ni lazima wataingia Startimes. Ting au ZUKU
Habari zilizonifikia na za kuaminika ni kuwa Mchakato wa Cdm kuanzisha vyombo vyake vya habari uko kwenye hatua nzuri.
Vyombo hivyo vitakavyojulikana kama Chadema media kwa kuanza wataanza na Radio na tayari CDM wameshasainishana mkataba na kampuni ya TTCL ili ku lease spaces za transmission ya mawimbi yao.

TTCL ndio kampuni pekee tanzania yenye facility za nsmna hiyo ambapo Radio karibu zote nchini za serikali, vyama na watu binafsi hu lease spaces kwa ajili ya transmission.

HONGERENI CHADEMA!
 
sijui walikuwa wapi muda wote huu

Ndio wameanza mkuu siku zote mtu akianzisha kitu tusianze kuhoji mambo ya nyuma ambayo hata ukijiuliza walikuwa wapi wakati wameanza haisadii, hongera kwao kwa kuanzisha hii ila katika kuajiri waajiri yoyote bila kujali itikadi ili coverage ya other issues isiwe inawapendelea wao tu hata upande wa pili wa shilingi
 
Nakubaliana na wewe mkuu na wala sipingi hilo,lakini hoja yangu hapa ni kwamba kuna hatri ya media hizo kufanya mashindno sasa ya kila mmoja kuvutia kwake kitu ambacho binafsi nakiona kama ni hatari na inaweza kufikia mahali hata zikaanza kuwachochea watu. Nadhani umeshaanza kuona hata badhi ya vyombo vya habari?

Acha pumba awe mwanachi uliyelala mbona huongei kama TBC inavyofanya wakati ni ya Wananchi na sio ya Magamba mbona hujawai kuleta uzi hapa kukemea pamoja na vijiredio vinavyoleta propoganda za hovyo kuponda Chadema hajawai sikiliza au kuona Tv hizo njaa zinazotegemea Mafisadi,kama utaona Media za Chadema zitakukera ni bora usizinunue au kuangalia.

Kumbuka Chadema wao hawakurupuki so let me tell yaa dat Chadema wao wanaweka/kuongea kile ambacho kipo pia kuwa na madie nyingi ndio kunaleta msisimko wa mabadiliko kama media za Chadema zitavumbua ouza mwingi tu kaka hadi utazipenda karibu kaka Just Like Chadema Media. All we're Tanzanian so wa need changez for our children man
 
Back
Top Bottom