Hatimaye CHADEMA kuanzisha media zake

Hatimaye CHADEMA kuanzisha media zake

nadhani wengi tulishauri hili liwepo, tupongeze usikivu huu na zaidi target iwe tv; tusaidie jinsi ya kuboresha vipindi
 
Sijui itakuwaje kwa sababu ninachokiona kama kila chama kitaanzisha chombo chake cha habri maana yake ni kwamba propaganda zitakuwa ni za kuwamga badala ya ukweli halisi,hapa lazima kuna kuhamasishana kuvunja amani.Wizara ya habari angalieni hili vinginevyo>>>>>>>>>>>>..........
Watanzania walio usingizini utawajua tu..! VIVA CHADEMA, "A Luta Continua"
 
Sidhani kuwa Gamba ni tatizo,kipendacho roho ni Dawa,naangalia mwelekeo wa siasa namna ulivyo kwa sababu wewe ni mmoja wapo ambaye unashdidia mambo kwa sababu tu eti wewe ni CDM!!!!!!!!!kwa taarifa yako kuna watu ni cdm lakini siku zote wanasimamia ukweli na si ushbiki.

Hujaeleza experience yako kwa ccm iayomiliki radio uhuru!
 
duh siipimii M4C itakavyowasha moto ktk anga hili la bongo ukombozi very soon utapatikana
 
Hongera cdm kwa wazo zuri. Kwenye harakati za kuelekea 2015 ni muhimu sana kuwa na media kama hii!
 
Sijui itakuwaje kwa sababu ninachokiona kama kila chama kitaanzisha chombo chake cha habri maana yake ni kwamba propaganda zitakuwa ni za kuwamga badala ya ukweli halisi,hapa lazima kuna kuhamasishana kuvunja amani.Wizara ya habari angalieni hili vinginevyo>>>>>>>>>>>>..........
Mawazo kama yako ndiyo hatari zaidi. Kwa nini iwe noma kwa CDM au vyama vingine kuwa na media wakati CCM wana uhuru na mzalendo na uhuru radio fm. Kwa maoni yako basi wizara ifikirie upya kuhusu vyombo hivi vya habari vya CCM. Vinginevyo nakuona kamas wale wanaoamini kuwa kila jambo la wapinzani ni vurugu tu, ila kumbuka inaweza tokea siku moja na nyie mkawa wapinzani sijui mtaishije kama dhana kama yako zikiachiwa kuendelea. Hongereni CDM kwa hatua hii maana hata TBC sasa wana miliki CCM.
 
Sijui itakuwaje kwa sababu ninachokiona kama kila chama kitaanzisha chombo chake cha habri maana yake ni kwamba propaganda zitakuwa ni za kuwamga badala ya ukweli halisi,hapa lazima kuna kuhamasishana kuvunja amani.Wizara ya habari angalieni hili vinginevyo>>>>>>>>>>>>..........

Mkuu mbona radio imaan ipo kitambo na imekuwa ikichochea vurugu za kidini bila wizara ya habari kujali...inakuwaje unatoa angalizo baada ya kusikia cdm wanamchakato huo..unataka tuamini kwamba cdm ni chama cha vurugu!!!???Acha undumila kuwili, naona tangu ushuhudie kwa macho yako kata ya Lwenzera ikirudi ccm hivi majuzi umeanza kuyumba.amua moja rudi gamba sisi tunalisongesha makamanda huwa hatukati tamaa, even rome wasn't built for a day bwana.
 
Habari zilizonifikia na za kuaminika ni kuwa Mchakato wa Cdm kuanzisha vyombo vyake vya habari uko kwenye hatua nzuri.
Vyombo hivyo vitakavyojulikana kama Chadema media kwa kuanza wataanza na Radio na tayari CDM wameshasainishana mkataba na kampuni ya TTCL ili ku lease spaces za transmission ya mawimbi yao.

TTCL ndio kampuni pekee tanzania yenye facility za nsmna hiyo ambapo Radio karibu zote nchini za serikali, vyama na watu binafsi hu lease spaces kwa ajili ya transmission.

HONGERENI CHADEMA!
ofcourse shirika la posta na simu duniani , kwa hapa tz TTCL na POSTA ndiyo wanaomiliki mawimbi-sumaku umeme (electromagnetic waves)
 
Kitu muhimu zaidi ni Redio ambapo kila mtu atapata habari za chama haraka hata kijijini ambako umeme haupo. TV na Magazeti baadae, maana hayafiki kirahisi vijijini.
nadhani wengi tulishauri hili liwepo, tupongeze usikivu huu na zaidi target iwe tv; tusaidie jinsi ya kuboresha vipindi
 
Habari zilizonifikia na za kuaminika ni kuwa Mchakato wa Cdm kuanzisha vyombo vyake vya habari uko kwenye hatua nzuri.
Vyombo hivyo vitakavyojulikana kama Chadema media kwa kuanza wataanza na Radio na tayari CDM wameshasainishana mkataba na kampuni ya TTCL ili ku lease spaces za transmission ya mawimbi yao.

TTCL ndio kampuni pekee tanzania yenye facility za nsmna hiyo ambapo Radio karibu zote nchini za serikali, vyama na watu binafsi hu lease spaces kwa ajili ya transmission.

HONGERENI CHADEMA!
Sidhani kuwa kuna ukweli kwani TTCL hawahusiki kabisa na hilo! Wanaohusika ni TCRA! Kama CDM wameingia mkataba na TTCL wametapeliwa!!
 
Kwa hiyo unamaanisha kwamba CDM wanaanzisha ili kujibu mapigo,au nao kuanzisha propaganda za kijinga hizo unazozisema??!Na unamaanisha kwamba mwanao akikutukana na wewe unamtukana?????!!!!!
Mkuu wewe mbona uko na Negative thinking tu?
Kwa nini uko hivi?
Mkuu acha roho ya korosho.

Hoja hapa ni CHADEMA wako mbioni kuanzisha Media zao, kwa malengo mazuri kabisa, badala ya kupongeza na kutoa ushauri bora, wewe unatoa maoni ya vyombo hivi kufungiwa!!

Ndugu yangu acha roho mbaya.
 
Huo uamuzi ni safi sana. Chama kubwa ni lazima kiwa na vyombo vyake vya propaganda. Naomba waanze kwa gia kubwa kwa kusikika Tanzania nzima kama sheria itawaruhusu. Nimemiss sana hotuba za Prof. W. Slaa, Kamanda Mbowe na wapiganaji wote.
 
Mkuu wewe mbona uko na Negative thinking tu?
Kwa nini uko hivi?
Mkuu acha roho ya korosho.

Hoja hapa ni CHADEMA wako mbioni kuanzisha Media zao, kwa malengo mazuri kabisa, badala ya kupongeza na kutoa ushauri bora, wewe unatoa maoni ya vyombo hivi kufungiwa!!

Ndugu yangu acha roho mbaya.

Hivi kwani wewe huoni kwamba mawazo yko ni negative???!! au unaona kwa upande wangu tu??Sikia siko kwa ajili ya kukufurahisha wewe na kampani yako niko kwa ajili ya kusimamia kile ninachokiamini mimi binafsi nipe hoja nitakuelewa,lakini sio kuja na ushbiki wako hapo.kwa tarifa yako usije ukadhani kuunga mkono kila hoja ndio kujenga chama!!!!!!!!!THINK BIG!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom