usiongee kama limbukeni! kwani si kuna sheria zinazosimamia vyombo vya habari? wewe unafikiri ni kutangaza kiholela??Sijui itakuwaje kwa sababu ninachokiona kama kila chama kitaanzisha chombo chake cha habri maana yake ni kwamba propaganda zitakuwa ni za kuwamga badala ya ukweli halisi,hapa lazima kuna kuhamasishana kuvunja amani.Wizara ya habari angalieni hili vinginevyo>>>>>>>>>>>>..........
Washaurini waanze na TV bna!
Mkuu mbona unajihami sana????!!!,ningetoaje angalizo kama hoja hiyo ilikuwa haijatolewa????!!!
Kama ni propaganda hawa ndio wakongwe...TBC, Habarileo, Uhuru n.k mbona hukutoa angalizo?Sijui itakuwaje kwa sababu ninachokiona kama kila chama kitaanzisha chombo chake cha habri maana yake ni kwamba propaganda zitakuwa ni za kuwamga badala ya ukweli halisi,hapa lazima kuna kuhamasishana kuvunja amani.Wizara ya habari angalieni hili vinginevyo>>>>>>>>>>>>..........
Tbccm imevunja amani mara ngapi!!!
tbccm?
Mbona redio uhuru ipo na ujasema kama itavunja amani, tumia kichwa chako vizuri kufikiri yasije yakakukuta ya wabunge wa dar na meya wa jiji
Magamba juzi walisema wako mbioni kuanzisha na TV station yao mkakaa kimya, kwa Chadema iwe nongwa. Tunataka wananchi wengi zaidi wajue uovu wa serikali ya magamba, lazima watanzania ujinga unaotumiwa na magamba kupata kura uwatoke kupitia Chadema media.
kwa hiyo UKWELI ni mafisadi Kuwa na media na si wapinzani?,city redio its ok, TBCCM its ok,iki anza ya chadema ndo shaka na amani inakushuka....,shutuma zingine mwajitakia.SIKU ZOTE MUOGOPA MWAGA HUPENDA GIZA,NA WASWAHILI * HUSEMA MDUDU MBAYA HUPENDA GIZA,unaona sasa unako kwenda....! kuwa makini kijana
waachwe waanzishe tu.ndo damocrasia.cha msingi tu watangaza ki staarabu kama redio Uhuru.
Kama ni propaganda hawa ndio wakongwe...TBC, Habarileo, Uhuru n.k mbona hukutoa angalizo?
Good newz itaanza lini kuwa hewani mkuu KABWELA
vyombo vya serikali (TBCcm)+ redio uhuru, vyote ni against chadema. Kuna chombo cha serikali 2010 kilisema, 'katu Dr. Slaa hawezi kuwa rais' kabla ya uchaguzi
Chanzo tafadhali.
Otherwise ni jambo jema
Tumekuwa tukilisubiri kwa hamu
usiongee kama limbukeni! kwani si kuna sheria zinazosimamia vyombo vya habari? wewe unafikiri ni kutangaza kiholela??
Kama wakiitisha mkutano, au wakiandamana mnawaua kwa kutumia polisi, huoni kama kuwa na chombo cha habari ndiyo njia pekee ya kuwawezesha kufikisha ujumbe wao kwa jamii ambayo imeshindikana kuifikia kwa mikutano? Kwenye nchi za wenzetu unakuta wana redio zaidi ya 200 na hakuna huo uvunjifu wa amani, itakuwa hizi redio za vyama ambavyo havifiki hata hamsini? Kikubwa hapa ni vyombo hivyo kufuata sheria za nchi zinazohusiana na mambo ya utangazaji ili kwa namna yoyote wasichochee vurugu. Kama kuwa na vyombo vya habari ni hatari basi redio uhuru ingeshakuwa ilihatarisha amani siku nyingi sana.
i guess híi radio itapendwa na kusikilizwa na mamilioni ya watu, inabidi uwahi kuamka saa kumi usiku ku itune ili upate frequency, vinginevyo utaambiwa radio station is busy so keep retuning until overload is reduced....ha haaa nawatakia maandalizi mema ya christmass all jf members.