Hatimaye Boss kaoa

Hatimaye Boss kaoa

Hatimae boss wangu kaoa, nilitaka nihudhurie ila kwa kuwa nampenda sikutaka kumuudhi maana ningefanya kitu cha kushangaza, huyo mwanamke mwenyewe hata sijui why did he choose her over me anyways kuoa au kuolewa sio Ndio kumaliza kila kitu changamoto na matatizo yapo hadi ndani ya ndoa.

Ofisi naiona chungu kila mtu ananiangalia utasema sijui nipo uchi najikaza tu kwasababu mwisho wa mwezi my salary inakuwa banked. Ila karma is a bitch na itamrudia tu kwa kunipotezea muda wangu na kunichezea
Yako imehorojeka haina ladha. Endelea kuikanda labda itapata mteja.
 
Hatimae boss wangu kaoa, nilitaka nihudhurie ila kwa kuwa nampenda sikutaka kumuudhi maana ningefanya kitu cha kushangaza, huyo mwanamke mwenyewe hata sijui why did he choose her over me anyways kuoa au kuolewa sio Ndio kumaliza kila kitu changamoto na matatizo yapo hadi ndani ya ndoa.

Ofisi naiona chungu kila mtu ananiangalia utasema sijui nipo uchi najikaza tu kwasababu mwisho wa mwezi my salary inakuwa banked. Ila karma is a bitch na itamrudia tu kwa kunipotezea muda wangu na kunichezea
Hyo mikonk minene. Ndio alicho penda huyu Bo's wako

Na utachwa Hadi ufut kauli zako za kipuuzi puuzi
 
"...chuki humchoma anayehifadhi...."👣

Wenyewe wanasema umuvu oniii ila mimi nakupa pole pili Waombee heri tu...

Jiliwaze kuwa Malipo duniani maana mbinguni hakuna benkiii...🏌🏿‍♀️
 
Ila karma is a bitch na itamrudia tu kwa kunipotezea muda wangu na kunichezea
Duh pole sana, navuta picha jinsi papuchi yako ilivyotumika na umeambulia zero, wallah nakuonea huruma.
Anaway tayari wewe ni msimbe karibu chamani, so far you are Strong no tatizo
 

The first day nimeanza kazi I knew he was the right guy for me, he is smart, intelligent, wise and successful. Yaani I couldn’t help myself nikamwambia ukweli kuwa am in love with you boss. He smiled and akanambia that will never work out, I was really hurt.

But cha kushangaza tangu nimemwambia amezidisha kuwa caring and treating me like a queen, so nikaelewa huyu he likes me too ila anaogopa mazingira ya kazi. He hugs me, touches me and kisses me but hataki relationship.

So nikamuuliza are you in a relationship, then he said yes I am tena serious one and soon I will get married. Nikawaambia hiyo sio shida I love you to the extent kwamba am okay with it and I won’t ruin your relationship, he is just blushing and asking me kweli upo single? Namjibu ndio but haamini.

Yaani I wish one day ni have sex nae .

Naombeni ushauri niachane nae nimpotezee au niendelee hivyo hivyo?
 
All in all karma does not work madam kama umeachwa kaolewa mwingine shortly we sio mke bora kwake hukuwa na vigezo alivyovitaka kutanuana vzr sio kigezo kuna maisha baada ya kutanuana fanya mtegemee mungu kwa kila jambo hayo yatapita upe moyo wako nafasi upumzike uyasahau upampata wa kufanana nawe mtafika mbali ila usikurupuke kumtafa mwingne kwa kigezo cha kumkomoa maana anaetumika ni wewe upande huo kashatoka coz hasira hasara sometimez

Na nimeendaaa
 
 
Utumie huu muda kujifunza wapi ulikosea, kuna sehemu utakuwa na shida ndiyo maana umeishia kuliwa tu na kuachwa. Hayo ya kusema utafunga uombe waachane huo ni uchawi, kubali kuwa hiyo meli imeshakuacha. Ukihitaji company nipo hapa maana nipo singo wala sijawahi kuona umuhimu wa kuwa na mahusiano, labda wewe ndyo utakuwa mwanga wa kunibadili msimamo.
 
Na wewe olewa na Jamaa wa kawaida Hadi boss ajiulize na yeye huyu X wangu amempendea nini huyo Jamaa??Bothi timu To skoo!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom