Hatimaye Boss kaoa

Wakati anakuchezea wewe.ulikua huchezi!!?

Huu ujinga mtaacha lini!!?

Mwanamme.anakuchezea wakati.wewe unafanya nini!!?wewe humchezei!!?

Kwanini Huwa mnajiona wa thamani.sana kuliko!!?

Alikua hakutunzi!!?hakupi chochote!!?
 
Hao co workers wengine Ndio walionileta hapo ofisini
Uwezo wangu na elimu yangu Ndio ilinifanya nikaajiriwa
Na hata nikiondoka kila mtu na maisha yake
Kama ni public sector unaweza hama fasta tu lkn kama ni private afu ndo ukute hawana subsidy, imbombo ngafu!!
 
Hayajakukuta Ndio maana unakua hodari kuona wenzako hawajielewi
I’m a yasikukute
Hayanaga mjanja haya
Endeleeni kucomment wajuani na mahodari
Malaika watu wa jamii forum
Hakuna malaika humu wala mtakatifu..we just share our opinions...ulileta uzi humu watu wakakushauri ila uliwajibu kama ulivyoona inafaa..so leo tena tunaendelea kutoa ushauri bi dada.....
Just calm down maisha lazima yaendelee yo have learnt a lesson...siku nyingine hutapata shida...
 
Don't be too much selective its will cost over your life.... By then share your age ..above 28 don't comment .. below that consult for consultation
 
Bi mkubwa kamaindi
 
Umeleta malalamiko humu as if uliyechezeana naye yupo humu,, anyway mkaidi hafaidi mpaka siku ya Idd,, kuwa mpole bibie 🤩
 
Ulijirahisi mwenyewe ukajifanya danga! Usinilaumu bure! Huna sifa nilizokuwa nazitafuta!
 
Jitathmini bwana unakuta pis kali lakini inanuka pussy au inanuka domo...ukiipiga chini inalalamika mitandaoni
 
Let it go..We hujui Mungu amekuepushia nini.Omba toba na rehema Mungu akukutanishe na ubavu wako bibie.Huyo Boss muache tu na msamehe bure.
 
Unashauriwa kamwe usidate mtu unayefanya naye kaz ofic au taasis moja
 
Kwa akili za huyu mwanamke jamaa alifanya jambo la maana kutomtia mimba.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…