Kidotulotokordwak
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 286
- 43
- Thread starter
- #141
........atakuwa hana kazi ya kufanya kama wewe vile ambaye unaangaika kusafiri kwaajili ya mademu wa mkataba. Halafu kibaya zaidi hujijui kuwa wewe ni mwanaume ambaye umefikia wakati wa kuwa na mtoto au la! hadi ulazimishwe na Bi mkubwa lol!!. Aha ha ha ha! wewe kweli kichekesho
"majorbuyoya" kweli jina lako linaeleza we ni mtu wa aina gan,kweli we ni "major boya" na sitegemei kupata point kutoka kwa boya