Hatimae jamii forum yanipa mke mwenye sifa zote

Ukitunga story uwe unakumbuka tangu mwanzo. So ur'demu umemuacha,mana kuzaa tu mliachana akarudi,right ?na kwa hodi uliyoanzia ni mtoto,coz hauko tayari,ila mama'ko ndo anamtaka isnt? So ameongeza siku za kuishi na anauhakika after ndoa na mtoto ndo atamuona then ndo afe ? Uwiii, LM 'big' A OfF! Hahahahah ..
I love the 'pannel scene'! Ready 4action!
Ushauri Tengeneza Kitabu

Kudos dude.....maana hata celewi bora umenisaidia
 
nimeshakujua wewe ni mtu wa hivi hivi.so haunipi shida kuanzia thread ya kwanza ulikua wa hivihivi,mtu akikuuliza wewe ni nani mwambie wewe ni mtu wa hiv hiv
hahahaaaaa JIPAAAANGEEEE...after this scene...anzisha thread 'AFTER 1YEAR,My PANNEL SHY VIRGIN GIRL IS EXPECTING TWINS":spy::spy::spy:
 
mwaya tumeshafungishwa ndoa huku na mzee wa kupelekwa kwenye rum ya watu kibao ili amkute mke!ahahahhahahhahahhhhahahhahahahhahahhahah

aisee kaka jasus anamaupako, tangu akutane na sister&pastor wa kwenye panel, kaaz kwel kwel
 
basi humo ndani ni vituko,maana wote mnatumia vichwa kufugia nywele baada ya kutumia vichwa kufikiri,anyway nani mke kati yenu?

mfyuuuuu... Kitokoinzi we.. Umesahau mke ni wewe? Iv kwanza nkuulize, iyo habari ya kumuona mtu siku ya kwanza na kudindisha,af unajifagilia et mke aliekamilika, umempima kwa kudindisha? Teh teh teh dogo unauaaa
 
hahahahaaaaaaaaa

hahaaahahahahahahahahaaaa

hahahahahahahahahahahahahahahahahaaaaaa

Asprin hubby njoo uone kazi ya majani, halafu plz weka ile picha ya mmea hapa

hahahahhahahaaaaaaaaaaaa hahahahaaaaaaaaaaa hahahahaaaaaaaaaaaaaaaa lol
 
Last edited by a moderator:
hahahaha dah hizi movie zime affect watu jamani wanatamani kuish maisha ya kimovie movie.
Ila mtunzi wa story amejitahidi sema itabidi atafte script writer na screen player mzuri. Muigizaji ukimweka JB si mbaya anaweza vaa uhusika bila kuwasahau irene wolper na wema pamoja na uwoya waka act kama hao wanawake.
JF now days inaanza kuwa home of people with illusions
 
arusha 2 dom nilitumia usafiri binafsi(cruser) though siyo wangu,the same from dom 2 mwanza,ila nilipata udhuru ya kikaz nikarud arusha so nilitoka arusha kuja Dar kwa usafiri wa basi.
weee jamaa, mara kikazi mara upo shuleni unasoma? mmmhQQ. Lakini Hongera sana kwa kujinyakulia kitu cha mkataba
 
Story yako inafaa sana mazingira ya Ulaya ila kwa mazingira ya hapa nyumbani mhhh
kukutana na mtu kwa mara ya kwanza..baada ya lisaa limoja familia ibariki kukuachia mtoto wao mhhh
 
Hongera sana Shemeji.
Mbona jina lako nilikitamka haraka haraka linasound kama Klorokwin the Lawyer?
 
Madam hapo kwa aircraft investigation kha...unaweza usipande ndege kwa kwel!umeona ile ya Tenarife disaster?ile ya KLM na PanAm I guess!au ile ya Pilot alowaita watoto wake kwa Cabin n then akawaacha wacontrol ndege then...!

hahaha, nimeshaona nyingi aisee kiasi kwamba rubani wa ndege angekuwa anakaa peupe kama wa daladala nahisi ningekuwa namuelekeza pa kukata kona!Saa zingine najisikiaga kama rubani, kwi kwi kwi.
In a strange way hizo aircraft investigations zinanifanya nisiogope kabisa. Nikipanda small chartered aircrats kama rubani ni mmoja nitakaa nae mbele na kuuliza maswali kama mtoto hadi tufike.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom