Hatimae jamii forum yanipa mke mwenye sifa zote | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatimae jamii forum yanipa mke mwenye sifa zote

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kidotulotokordwak, Sep 16, 2012.

 1. Kidotulotokordwak

  Kidotulotokordwak JF-Expert Member

  #1
  Sep 16, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwanza kabisa poleni na majukumu ya kila siku hasa kwa mnaofanya kaz mpaka mwisho wa wiki.

  Nianza na thread yenye kichwa "natafuta mwanamke wakunizalia mtoto kwa mkataba"ambapo nilipata e-mail 3 nilizoziona zinafaa na nikazileta kwenu kupitia kicha hiki"ni mkataba upi unafaa kumpata mtoto wa mkataba kutoka kwa wanawake hawa" hapa pia mlinishaur vizuz.Nilianza kuzifanyia kaz e-mail hiz kama ifuatavyo


  1.safari yangu ya kwanza ilikua dodoma ambapo kwenyd majira ya saa tano nilionana na mgeni wangu hotelini,alikua ni bint mrembo aliyevalia suti nyeus na miwani ya jua akiambatana na mwanasheria wake,alinipokea vizur na baada ya kupata kifungua kinywa tulianza mazungumzo yetu

  Tliongea mambo meng katika mkataba wetu na hata ivyo tulishindwa kukubaliana katika baadh ya mambo kama
  -mimi kuacha kaz idara niliyopo
  -mimi kuhamia dodoma kwasababu yeye hawez kuhama
  -kufunga ndoa baada ya miez 6 kitu ambacho ni kigumu kwangu kwa mda huo na mambo mengind meng ambayo sintoweza kuyaandika yote.
  Napenda kutumia fursa hii kukushukuru m**a**a kwa muda wako na ninaheshimu uamuz wako but hatutoweza kuwa pamoja

  2.safar yangu ya pili ilikua katika jiji la mwanza (THE ROCK CITY),na mpaka kufikia majira ya saa moja jioni nilikutana na bint huyo mrembo kiumbo kuliko yule wa kwanza,ila kitu kimoja kilinifanya nisimpende kwasababu alikua amevaa ka-bucta kafupi mfano wa boxer tunazovaa wanaume hivyo kufanya sehemu kubwa ya mwili wake kuwa wazi,viatu alivaa high hills,alijipaka lipbam kwenye kope na lips,kucha za bandia mikononi n.k
  kiujumla wanawake kama hawa kwangu binafsi huwa hawanivutii kwani na waona wanaonekana kama pepo/jini.(utanisamehe kwa kutumia neno hilo)
  Tulikubaliana kila kitu na alikubali tuwe na mtoto bila malipo na alinielewa kuhusu mkataba wangu katika idara husika niliyokwisha kuielezea.Ni mtoto kutoka katika familia yenye uwezo na alisema anataka ndoa baada ya kujifungua ili aish na mwanamme anayezalisha,alisema anaweza kuudumi ujauzito na hatonitegemea kifedha
  pamoja na mambo yote tuliyokubaliana lakini sikuona kama mwil wangu umeonyesha hisia zozote kwake hasa ni kutokana na mavaz yake japo ni bint mrembo,
  natumia fursa hii kukushukuru kwa muda wako ila hatutoweza kuwa pamoja *e*m*

  3.safari yangu ya tatu ni katika jiji la Dar es salaam na niliingia usiku ilipofika majira ya saa 12 mchana huu nilionana na mgeni wangu kwa mara ya kwanza na pind tulipogonganisha macho wote tulijikuta tukitabasam,kiukwel hisia zangu zilijionyesha kwa bint huyu kwani mnyama wangu alisimama ghafla hivyo niliingia maliwato/msalani kwaajili ya kumtuliza hasa ukitegemea nilikua nimevaa suruali ya kitambaa
  Bint huyu alinipeleka mpaka kwenye chumba cha mkutano ndipo nilipo shtuka baada ya kuufungua mlango kwani nilikuta watu wamekaa kwenye meza kubwa mfumo wa pannel kama unapoingia kwenye interview tofaut na nilipokua nikizungumza na wale wengine.
  Utambulisho ulianza na kulikua na mwanasheria,mchungaji,sister,kaka wa bint,boss wa bint na mfanyakaz mwenzake.

  Katika mazungumzo yetu yaliyochukua saa 1 na nusu,walikubali niwe na bint huyu kama mchumba kabla ya kufunga nae ndoa baada ya mwaka mmoja(walinipa mda huu kwaajili ya kujipanga) na mambo yote yalikua kimaandishi,wakakagua vitambulisho vyangu vyote kuanzia pass ya kusafiria,ID ya chuo,kitambulisho cha kaz na vyote vikaambatanishwa kwenye mkataba,kiukwel hawa jamaa walikua sirious kama mimi nilivyokua.
  Baada ya kusainishana nilibaki na bint kwa mda wa nusu saa tukiwa peke yetu na hapa ndipo nilipogundua uzur wa mwanadada huyu mda wote alikua akiangalia chini na kama akiniangalia aliachia tabasam ambalo lilitapakaa kwenye uso wake wote usiopakwa mkorogo kama yule wa mwanza,acha niwe waz blood pressure kwenye mnyama wangu ilikua kubwa sana so mda wote nilikunja nne kuuficha kwa wanaume mnafaham mtu ukivaa suruali ya kitambaa alafu jamaa aamke uone msala wake

  Huyu ndio mwanamke atakaekua my one and only,ni kweli kua mke mwema anatoka kwa mungu ila hujui mtakutana nae wap,wengine msikitin,kanisani,chuoni,shuleni,mjini(posta),gengeni n.k ila mimi wa kwangu nimekutana nae kupitia jamii forum.
  Boss wa mke wangu mtarajiwa kanipa cd yenye wimbo huu ambao mpaka sasa ndiyo ringtone kwenye cm Yangu
  MUNGU IBARIKI JAMII FORUM,MUNGU WABARIKI WANA JAMII FORUM.
  Ahsanteni
   
 2. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hongera kwa kushukuru, na Mungu akubariki sana.
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Sep 16, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,250
  Trophy Points: 280
  Lil buoy, you watch too much movies!
  Ever watched aircraft investigation documentaries, to the extent of feeling that you can fly a plane and save it when there is a mechanic default? Lmao!
   
 4. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #4
  Sep 16, 2012
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Aiseee!
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Sep 16, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  hiki kiranga haswaaa
   
 6. Kidotulotokordwak

  Kidotulotokordwak JF-Expert Member

  #6
  Sep 16, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mungu akubariki na wewe pia
   
 7. Root

  Root JF-Expert Member

  #7
  Sep 16, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,298
  Likes Received: 13,007
  Trophy Points: 280
  mapenzi ya kwenye mitandao duh ila vizuri mimi nina swali kuhusu hzo safari zako ulikuwa unatumia usafiri gani?
   
 8. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #8
  Sep 16, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,344
  Likes Received: 2,679
  Trophy Points: 280
  stories are normally made out of nothing...
   
 9. Kidotulotokordwak

  Kidotulotokordwak JF-Expert Member

  #9
  Sep 16, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  arusha 2 dom nilitumia usafiri binafsi(cruser) though siyo wangu,the same from dom 2 mwanza,ila nilipata udhuru ya kikaz nikarud arusha so nilitoka arusha kuja Dar kwa usafiri wa basi.
   
 10. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #10
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  wakati mwingine huwa tunapoota na kuwaza huw tudhani ukweli i see!
   
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  Sep 16, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  unanisemesha kizungu kigumu mno, kwani hata nimekuelewa??

   
 12. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #12
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  hapo kwenye red ndo uliponiacha hoi dogo!
   
 13. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #13
  Sep 16, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  kula 6,snowhite
   
 14. Kidotulotokordwak

  Kidotulotokordwak JF-Expert Member

  #14
  Sep 16, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 15. Kidotulotokordwak

  Kidotulotokordwak JF-Expert Member

  #15
  Sep 16, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama kawaida yako,but hamna binadam ambaye hasemwi iwe vibaya au vizur
   
 16. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #16
  Sep 16, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  upembuzi yakinifu .
   
 17. Kidotulotokordwak

  Kidotulotokordwak JF-Expert Member

  #17
  Sep 16, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwanini?
   
 18. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #18
  Sep 16, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,815
  Trophy Points: 280
  Cool story bro! Changed my life :clap2:
   
 19. Kidotulotokordwak

  Kidotulotokordwak JF-Expert Member

  #19
  Sep 16, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimeshakujua wewe ni mtu wa hivi hivi.so haunipi shida kuanzia thread ya kwanza ulikua wa hivihivi,mtu akikuuliza wewe ni nani mwambie wewe ni mtu wa hiv hiv
   
 20. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #20
  Sep 16, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Ukitunga story uwe unakumbuka tangu mwanzo. So ur'demu umemuacha,mana kuzaa tu mliachana akarudi,right ?na kwa hodi uliyoanzia ni mtoto,coz hauko tayari,ila mama'ko ndo anamtaka isnt? So ameongeza siku za kuishi na anauhakika after ndoa na mtoto ndo atamuona then ndo afe ? Uwiii, LM 'big' A OfF! Hahahahah ..
  I love the 'pannel scene'! Ready 4action!
  Ushauri Tengeneza Kitabu
   
Loading...