Hatimae jamii forum yanipa mke mwenye sifa zote

Hatimae jamii forum yanipa mke mwenye sifa zote

ha ha haaa hapo kwenye Red itabid akufukuze...mh mie kwa kweli mwisho wa siku zinanitisha just imagine kosa dogo tu ndege yote inateketea na abiria wake. Now nimekuwa fun wa ndege haswaaa mpaka nina vitabu vya kujifunza u_pilot na maintanance ya ndege....n this is because zile documentary zimenifanya nitake kujua zaidi.... i guess ningeziona nikiwa mdogo then by now ningekuwa rubani.

kaanzishen thread yenu siyo mnakuja kukutania hapa
 
Love drama,Uzuri uko ndani kwa nje mnajiongopea,hapo mkuu ulipelekwa ka kondoo kutokana na uchu na tamaa za ufisi maji ulizokuwa nazo,binti kaambatana na watu wake wewe uko peke yako je kama ni matapeli wakikugeuka utajitete na nani wa upande wako?au hana mtu yeyote wa karibu?only fools can follow this way

walimu wanakaz kweli,nilikua na mwanasheria,ulitaka niende na ukoo mzima
 
hahahahahahahahahahahahahah

jasusi nakubali mie sina kazi ya kufanya ila wewe una kazi ya kufanya ndo maana unafantasize ujinga,

balehe tu inakusumbua ukikua utaacha.....

Hahahahahhaaaaa halafu uzi zako pumba heri za Natalia....


Hhahahahaahahahahaaa balehe ukichanganya na majani unapata Kidotulotokordwak.....

Hahahahaaaaaaaaaaaaaaa baleheeeeeeeeeeee majaniiiiiiiiiiiiiii = jasusi the student hahahahahahaaa

ukiona mwanamke anacheka cheka kama kala kabich ujue amekosa wakumkaza
 
Last edited by a moderator:
kwikwikwiii,kwa hiyo ni kwamba alipiga canabis afu akaanza kufantasize ikampeleka dom,mara mwanza,arusha then dar,kufungua mlango anakutana na panel imeandaliwaa huh! Lmao!

et "Baba v"huna staha ya kuitwa baba kwa unachoandika,oh i've got the meaning of ur name that must be spelt as "father v**i*na" that is the best meaning of ur name
 
Inapendeza na inatia moyo kwa kukumbuka kushukuru....barikiwa sna sna na huyo mtarajiwa wako. Nikutakie mafanikio mema ktk kipindi hiki cha matazamio.
Barikiwa sana.

Kwanza kabisa poleni na majukumu ya kila siku hasa kwa mnaofanya kaz mpaka mwisho wa wiki.

Nianza na thread yenye kichwa "natafuta mwanamke wakunizalia mtoto kwa mkataba"ambapo nilipata e-mail 3 nilizoziona zinafaa na nikazileta kwenu kupitia kicha hiki"ni mkataba upi unafaa kumpata mtoto wa mkataba kutoka kwa wanawake hawa" hapa pia mlinishaur vizuz.Nilianza kuzifanyia kaz e-mail hiz kama ifuatavyo


1.safari yangu ya kwanza ilikua dodoma ambapo kwenyd majira ya saa tano nilionana na mgeni wangu hotelini,alikua ni bint mrembo aliyevalia suti nyeus na miwani ya jua akiambatana na mwanasheria wake,alinipokea vizur na baada ya kupata kifungua kinywa tulianza mazungumzo yetu

Tliongea mambo meng katika mkataba wetu na hata ivyo tulishindwa kukubaliana katika baadh ya mambo kama
-mimi kuacha kaz idara niliyopo
-mimi kuhamia dodoma kwasababu yeye hawez kuhama
-kufunga ndoa baada ya miez 6 kitu ambacho ni kigumu kwangu kwa mda huo na mambo mengind meng ambayo sintoweza kuyaandika yote.
Napenda kutumia fursa hii kukushukuru m**a**a kwa muda wako na ninaheshimu uamuz wako but hatutoweza kuwa pamoja

2.safar yangu ya pili ilikua katika jiji la mwanza (THE ROCK CITY),na mpaka kufikia majira ya saa moja jioni nilikutana na bint huyo mrembo kiumbo kuliko yule wa kwanza,ila kitu kimoja kilinifanya nisimpende kwasababu alikua amevaa ka-bucta kafupi mfano wa boxer tunazovaa wanaume hivyo kufanya sehemu kubwa ya mwili wake kuwa wazi,viatu alivaa high hills,alijipaka lipbam kwenye kope na lips,kucha za bandia mikononi n.k
kiujumla wanawake kama hawa kwangu binafsi huwa hawanivutii kwani na waona wanaonekana kama pepo/jini.(utanisamehe kwa kutumia neno hilo)
Tulikubaliana kila kitu na alikubali tuwe na mtoto bila malipo na alinielewa kuhusu mkataba wangu katika idara husika niliyokwisha kuielezea.Ni mtoto kutoka katika familia yenye uwezo na alisema anataka ndoa baada ya kujifungua ili aish na mwanamme anayezalisha,alisema anaweza kuudumi ujauzito na hatonitegemea kifedha
pamoja na mambo yote tuliyokubaliana lakini sikuona kama mwil wangu umeonyesha hisia zozote kwake hasa ni kutokana na mavaz yake japo ni bint mrembo,
natumia fursa hii kukushukuru kwa muda wako ila hatutoweza kuwa pamoja *e*m*

3.safari yangu ya tatu ni katika jiji la Dar es salaam na niliingia usiku ilipofika majira ya saa 12 mchana huu nilionana na mgeni wangu kwa mara ya kwanza na pind tulipogonganisha macho wote tulijikuta tukitabasam,kiukwel hisia zangu zilijionyesha kwa bint huyu kwani mnyama wangu alisimama ghafla hivyo niliingia maliwato/msalani kwaajili ya kumtuliza hasa ukitegemea nilikua nimevaa suruali ya kitambaa
Bint huyu alinipeleka mpaka kwenye chumba cha mkutano ndipo nilipo shtuka baada ya kuufungua mlango kwani nilikuta watu wamekaa kwenye meza kubwa mfumo wa pannel kama unapoingia kwenye interview tofaut na nilipokua nikizungumza na wale wengine.
Utambulisho ulianza na kulikua na mwanasheria,mchungaji,sister,kaka wa bint,boss wa bint na mfanyakaz mwenzake.

Katika mazungumzo yetu yaliyochukua saa 1 na nusu,walikubali niwe na bint huyu kama mchumba kabla ya kufunga nae ndoa baada ya mwaka mmoja(walinipa mda huu kwaajili ya kujipanga) na mambo yote yalikua kimaandishi,wakakagua vitambulisho vyangu vyote kuanzia pass ya kusafiria,ID ya chuo,kitambulisho cha kaz na vyote vikaambatanishwa kwenye mkataba,kiukwel hawa jamaa walikua sirious kama mimi nilivyokua.
Baada ya kusainishana nilibaki na bint kwa mda wa nusu saa tukiwa peke yetu na hapa ndipo nilipogundua uzur wa mwanadada huyu mda wote alikua akiangalia chini na kama akiniangalia aliachia tabasam ambalo lilitapakaa kwenye uso wake wote usiopakwa mkorogo kama yule wa mwanza,acha niwe waz blood pressure kwenye mnyama wangu ilikua kubwa sana so mda wote nilikunja nne kuuficha kwa wanaume mnafaham mtu ukivaa suruali ya kitambaa alafu jamaa aamke uone msala wake

Huyu ndio mwanamke atakaekua my one and only,ni kweli kua mke mwema anatoka kwa mungu ila hujui mtakutana nae wap,wengine msikitin,kanisani,chuoni,shuleni,mjini(posta),gengeni n.k ila mimi wa kwangu nimekutana nae kupitia jamii forum.
Boss wa mke wangu mtarajiwa kanipa cd yenye wimbo huu ambao mpaka sasa ndiyo ringtone kwenye cm Yangu
MUNGU IBARIKI JAMII FORUM,MUNGU WABARIKI WANA JAMII FORUM.
Ahsanteni
 
Hongera zako Mkuu, JF ni kila kitu, ila ndugu yangu kwa vile umepewa muda wa kutosha mwaka mmoja kama ulivyo dokeza, nakuomba kama unajipenda na maisha yako mazuri ya baadae, tafadhari mshirikishe Mungu kwa nafasi kubwa ya mipango yako!!!! Nakuomba fanya upate muda mzuri wa maombi, kama hujui au si mshirika wa maombi tafuta mtu atakaye kuongoza katika hilo wako watumishi wengi wazuri ambao sio matapeli wahusishe!!! Kwa vile imekuchukua muda mwingi kufanya reserch naona nia yako ni nzuri tafadhari shirikisha Mungu jambo hilo, Ubarikiwe!!!


ahsante kwa ushauri mzur,wenye busara kama zako ni wachache sana kwenye jukwaa hili
 
Kama kituo chako ni Arusha kwa nini usiwe na face to face interaction ili kuwe na mazungumzo mazuri zaidi, si tutafutane Mkuu!!!!


sio kwamba kituo changu ni arusha ila kwetu ni arusha,nilikua arusha kutokana na ugeni(mkutano)uliokuwepo ila siyo kwamba nafanyia arusha,sisi tunaama kila sehemu kutokana na matukio,ila ni pm namba yako nikirud Arusha ntakukuta
 
Kama kituo chako ni Arusha kwa nini usiwe na face to face interaction ili kuwe na mazungumzo mazuri zaidi, si tutafutane Mkuu!!!!


sio kwamba kituo changu ni arusha ila kwetu ni arusha,nilikua arusha kutokana na ugeni(mkutano)uliokuwepo ila siyo kwamba nafanyia arusha,sisi tunaama kila sehemu kutokana na matukio,ila ni pm namba yako nikirud Arusha ntakutafuta
 
Unajua hii makitu usipofuata vigezo na masharti



weed-we-trust.jpg




Matokeo yake yanakuwa si mazuri. Umenielewa my wifey BADILI TABIA?


attachment.php

hahaha nimekupata hubby
 
Last edited by a moderator:
Watu Mkuu wanaona ugumu kuamini, ila kwa ARusha tuna mifano mizuri tuu Bwana Kimeyi atakupa ukweli!!! Mimi sina wasi wasi na mipango yako ila mtangulize Bwana Mungu wetu aliye hai!!!


hawa wasikupe shida hata wasipo amini coz hawawez nisaidia kitu zaid ya kejeli
 
lazima utakua mwanamke na kama ni mwanaume utakua huna kaz ya kufanya.
........atakuwa hana kazi ya kufanya kama wewe vile ambaye unaangaika kusafiri kwaajili ya mademu wa mkataba. Halafu kibaya zaidi hujijui kuwa wewe ni mwanaume ambaye umefikia wakati wa kuwa na mtoto au la! hadi ulazimishwe na Bi mkubwa lol!!. Aha ha ha ha! wewe kweli kichekesho
 
Jamani tena vipi mbona mnakwenda mbali, tulizana muwe na akili za kiutu uzima huo ni utoto, kama hukubaliani naye basi tumieni lugha ya staha kujibizana!!!


achana nae huyo,kama mtu anaitwa"wehood" inasound lyk "wehu"so mwache mwehu aandike wehu wake
 
Back
Top Bottom