Tetesi: Sheikh Walid atuhumiwa kukimbiwa mtoto

Status
Not open for further replies.

hamis77

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
18,683
Reaction score
27,603
Huwa nasema hakuna watu wanafiki kama masheikh, hakuna watu wanaofanya maovu kwa kujificha kama masheikh,Hawa ndio wazinzi wakubwa,wavuta Sigara na watukanaji WAKUBWA .

ila ndio wakwanza kushambulia watu na kuwalazimisha wamfate Allah kumbe wao hawawezi .

Huyu kwenye picha na video ni Sheikh WALID na huyo bint ambaye amekiwasha huko mitandaon hasa TikTok akitoa na ushahidi wa Sheikh WALID kukataa mtoto kumtunza,kumbuka huyu bint alikuwa hawara tu .
Screenshot_20260714-041401.png

Narudia hakuna watu wanafiki na wahuni kama Hawa wanaojiita viongozi wa dini hasa Masheikh.

Yesu alisema

Mathayo 23
14 [Ole wenu waandishi na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mnakula nyumba za wajane, na kwa unafiki mnasali sala ndefu; kwa hiyo mtapata hukumu iliyo kubwa zaidi.]

Hawa jamaa wanaongoza kwa kusali Dua ndefu sana na kula pilau na biriyani kumbe wachafu sana.

Baada ya huu mkasa wa aibu ,Bakwata fasta wamemtengua ,maana hii kesi wanaijua vizuri

FB_IMG_1784041135742.jpg

Sheikh Mwaipopo mwanamgambo wa kundi la chui weusi na yeye katoa neno kuhusu Sheikh WALID

Cha kushangaza Kuna wapumbavu wanamtetea huyu sheikh kana kwamba ni Malaika hakosei

Hawa viongozi wa dini ni wahuni wenzetu tu ,
 
Kuzaa mtoto nje ya ndoa, hii kitu ni shida sana mbele ya safari kwa mwanaume.

Hata mwanamke kuzaa mtoto nje ya ndoa nalo pigo maishani mwake.

Ngoja niishie hapo ila… nimpe pole sheikh maana sisi wote walaji.
 
Msitujumlishe wanaume wote kwenye ulaji wenu wa kifisadi.

Kila mtu abebe msalaba wake mwenyewe.
 
Kuzaa mtoto nje ya ndoa, hii kitu ni shida sana mbele ya safari kwa mwanaume.

Hata mwanamke kuzaa mtoto nje ya ndoa nalo pigo maishani mwake.

Ngoja niishie hapo ila… nimpe pole sheikh maana sisi wote walaji.
Binti kaisha kuwa single mother
 
Huwa nasema hakuna watu wanafiki kama masheikh, hakuna watu wanaofanya maovu kwa kujificha kama masheikh,Hawa ndio wazinzi wakubwa,wavuta Sigara na watukanaji WAKUBWA .

ila ndio wakwanza kushambulia watu na kuwalazimisha wamfate Allah kumbe wao hawawezi .

Huyu kwenye picha na video ni Sheikh WALID na huyo bint ambaye amekiwasha huko mitandaon hasa TikTok akitoa na ushahidi wa Sheikh WALID kukataa mtoto kumtunza,kumbuka huyu bint alikuwa hawara tu .
View attachment 3629751
Narudia hakuna watu wanafiki na wahuni kama Hawa wanaojiita viongozi wa dini hasa Masheikh.

Yesu alisema

Mathayo 23
14 [Ole wenu waandishi na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mnakula nyumba za wajane, na kwa unafiki mnasali sala ndefu; kwa hiyo mtapata hukumu iliyo kubwa zaidi.]

Hawa jamaa wanaongoza kwa kusali Dua ndefu sana na kula pilau na biriyani kumbe wachafu sana.

View attachment 3629750

Baada ya huu mkasa wa aibu ,Bakwata fasta wamemtengua ,maana hii kesi wanaijua vizuri

View attachment 3629752

Sheikh Mwaipopo mwanamgambo wa kundi la chui weusi na yeye katoa neno kuhusu Sheikh WALID

View attachment 3629753
Cha kushangaza Kuna wapumbavu wanamtetea huyu sheikh kana kwamba ni Malaika hakosei

Hawa viongozi wa dini ni wahuni wenzetu tu ,
Naona mitandaoni kobazi wameanza kumtetea sana huyu mzinzi.

Akili za kobaz 🙌🏿🙌🏿.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom