Hatimae jamii forum yanipa mke mwenye sifa zote

Hatimae jamii forum yanipa mke mwenye sifa zote

unknown.gif
Banned Array

Join Date : 27th March 2012
Posts : 252
Rep Power : 0
Likes Received17
Likes Given2 umeona matokeo ya mitusi yako enh!Kidotulotokordwak
 
NOOOOOO!! shegoooongooooo wa JF kapewa likizo. now where will we get story za kupunguza stress za kazini? ah well!! it was fun while it lasted
 
jamaa kazidi dharau na kugha chafu...mi nilimwambia aache dharau akaniona namtania...ona sasa!!nilijua tu hii thread ingeishia hivi!

ngoja akajipange upya then aje hapa na ID nyingine muda si mrefu!
 
Ama kweli wahenga hawakukosea...."Ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni"
 
unknown.gif
Banned Array

Join Date : 27th March 2012
Posts : 252
Rep Power : 0
Likes Received17
Likes Given2 umeona matokeo ya mitusi yako enh!Kidotulotokordwak

aiiiiiiiiii jamani jamaa alikuwa anatia burudani na kusadikika kwake pamoja na mitusi yake
 
Bongo Movies mko wapi jamani? Yaani ningekuwa mcheza movies, haka kastory ningetungia movie.......
 
Sipati picha kifungo chake kinaisha sawa na Natalia

sikilizia collabo lao
 
Me nilimdiss long time,bora akakue huko jandoni alipo. Lol so sad maandishi ya hii 'senema' hayajapanda juu..poor thing!
 
Back
Top Bottom