Hatimae jamii forum yanipa mke mwenye sifa zote

Hatimae jamii forum yanipa mke mwenye sifa zote

Hahahahahahahahahahahahaha
Natalia lazima aseme amehongwa hotel
ubaya wa watu wa namna hii hawajifichi kuwajua uhalisia wao kwa sababu wana sahau mapema na kujikuta wanajichanganya.

tobaaaaaaaaaa itakua kizunhuzungu kitupu..... Jasusi atakuja aseme mchumba kabeba mimba....
 
Koma hiyo tabia kabisa nakuonya,Utakuja kukutana na watu wabaya wakupeleke kwenye ulimwengu wa Majini na Kuzimu ndo upotee kabisa kwa kuleta mambo ya kizungu kwenye Dark Continent yetu...
 
Hahahahahahahahahahahahaha
Natalia lazima aseme amehongwa hotel
ubaya wa watu wa namna hii hawajifichi kuwajua uhalisia wao kwa sababu wana sahau mapema na kujikuta wanajichanganya.

me sio wa kuongwa,kama unataka nikuonge kaz kama ni mdada njo nikupe kaz tunahitaj secretary
 
Koma hiyo tabia kabisa nakuonya,Utakuja kukutana na watu wabaya wakupeleke kwenye ulimwengu wa Majini na Kuzimu ndo upotee kabisa kwa kuleta mambo ya kizungu kwenye Dark Continent yetu...

"dark continent!?"=dark mind,so sikubaliani na usemi wako,hizo ni porojo za west kwa waafrica,
 
shosti wamekuban ukanga'nga'na with ur new id, ukaongeza ii,hahahah unakazi bibie maana ungekuwa wa kiume usingekuwa king'ang'anizi namna hii... Ucjal utapata tu wa kukunanhii akili ikutulie...frustrated g....!! thers somethin in ur eye....**
 
Back
Top Bottom