Hatima ya waliosoma diploma na wakapata 3.4 gpa kushuka chini (lower second)

Hatima ya waliosoma diploma na wakapata 3.4 gpa kushuka chini (lower second)

kat.ph

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
2,222
Reaction score
1,679
Habari
Ninaomba kufahamishwa kama serikali imetoa muongozo wa hatima ya wale waliosoma stashahada (diploma) na wakapata GPA ya 3.4 kushuka chini..... yaani Lower second (achana na pass).

Muda unakimbia kwa kasi sana na ingepaswa hili litolewe muongozo. Tafadhali kwa anayefahamu......
Ahsante
 
Mm nafikiri utachukuliwa kama umedisco tu. So rudi chuoni kwako rudia mwaka wa pili
 
Habari
Ninaomba kufahamishwa kama serikali imetoa muongozo wa hatima ya wale waliosoma stashahada (diploma) na wakapata GPA ya 3.4 kushuka chini..... yaani Lower second (achana na pass).

Muda unakimbia kwa kasi sana na ingepaswa hili litolewe muongozo. Tafadhali kwa anayefahamu......
Ahsante
muongozo rudini mkaanzie certificate
 
mi nadhan tusubiri tu hiyo guiding book ya diploma halafu ndo itafahamika cha kufanya but poleni manake inaumiza sana
 
acheni kukatisha tamaa watu bhana mi nashauri kama njia zote zimeshindikana its better kuludia tu elimu muhimu sana na kumbuka vikwazo ndo njia ya kukufanya uwe strong zaidi ......usipoteze ndoto zako au kukata tamaa kisa vikwazo chamsingi fight kwa ulichokuwa unataka ....kubadili malengo bla idhini ya moyo wako ndo mwanzo wa kupoteza direction
 
mi nadhan tusubiri tu hiyo guiding book ya diploma halafu ndo itafahamika cha kufanya but poleni manake inaumiza sana
Nakushauri tu utafute guide book ya hom kwenu kua ufanyeje Ndalichako alishanyoosha maelezo amna kingine"
3.5
 
sure!!it is not fair kumdharau mtu anayeomba msaada wa mawazo kwenye mambo ya msingi kama haya kwani kushindwa kufikia qualification kuna sababu nyingi but mimi naona msubiri tu wamalizene kwanza na wanao omba kwa sasa then hatma yenu itajulikana tu.Asante
 
Chuoni kwetu wameshatoa tangazo kwamba bila 3.5 huwezi kuendelea na degree.
Chini ya hapo unarudia mwaka
 
Back
Top Bottom