Mohamedy cadinaly
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,449
- 2,276
Nenda ukasome uganda Mkuu
Haujanielewa mama...
Namaanisha kwa watoto wa MAKABWELA education ni zaidi ya MTAJI...
Na hii kitu ikipitishwa mtoto wa KABWELA hana namna zaidi ya kurudia masomo au kupiga BENCH...
hii kitu inakula kwao...
Huyo mtoto wa KIGOGO wala hana pressure na maamuzi ya Ndalichako..!
Piah namaanisha kuwa maamuzi yote ya UKURUPUKAJI huwa yanawaumiza zaidi watoto wa MAKABWELA..!
nimekuja baba mkweNjoo tena.
Wewe una degree?Kwani lazima uwe na degree bro? Tutamtuma nani kwa office
Mo ana degree?, bakhresa , Mengi, Diamond, bilgate, jayz, didy, rickross, Beyonce wana degree? Hyo ofisi ya babaako? Umeajiriwa milele? Unalipwa billion? Unakunya degree? Tanzania bado saaana aiseeKwani lazima uwe na degree bro? Tutamtuma nani kwa office
Kwa wadogo zangu mliomaliza kidato cha sita na wa kidato cha nne mnaohitaji info kuhusu vyuo vya china(kozi,ada na admission process) kwa mwaka 2016 ninaweza kuwasaidia na i can help with admission process too.tuwasiliane kupitia +8613065131363 whatsapp only.na kwa wale form six science waliokosa sifa za kujiunga na shahada foundation courses za mwaka 1 pia zipo .Karibuni huduma inatolewa bure
Ni kwa wanafunzi wanaojilipia wenyeweKUNA UFADHILI????
Mlikuwa mnapata D tatu mnakimbilia chuo ndio mkome sasa.
Mo ana degree nadhani na Masters from USA" Diddy Ana Masters kwenye mambo ya biashara, Bakhresa wa sasa watoto wake wote wana Masters that's y umeona business yake imekua nw international "East and Central africa kote anauza bidhaa zake"Mo ana degree?, bakhresa , Mengi, Diamond, bilgate, jayz, didy, rickross, Beyonce wana degree? Hyo ofisi ya babaako? Umeajiriwa milele? Unalipwa billion? Unakunya degree? Tanzania bado saaana aisee
Point..maisha ni popote na haitakiwa kukata tamaa. Deploma ni level kubwa kuna weng wanaendeshea maisha na wanafamilia kubwa level yao ni deploma tu. maisha ni akili yko elimu ni ziada katka kukupanua akili kufanya mambo kisomi.kuliko kurudia miaka mitatu upya diploma ni bora niji sacrifice kutafuta kazi mtaan nendelee na mishe zingine, sio lazima kusoma degree!!! nikiajiriwa kama technician itanitosha tu!
kwaiyoo mtazamo wako waliochini ya GPA 3.5 ni mabishoo?? Hawasomi?
Sometimes busara ni kitu kizuri sana huwez kumkuta mtu mwenye elimu anamjibu mtu vibaya au kuongea vitu visivyokuwa na busara, mnaojibu vibaya mna underestimate elimu yenu mliokuwa nayo.