Deogratius n
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 1,193
- 254
NACTE NA TCU BADO WANASHAURIANA KUHUSU HILO. ILA NINA IMANI WATALEGEZA KAMBA NA TAMKO LA KUOMBA VYUO WALE WENYE DIPLOMA KWENDA DGREE LITATOKA WIKI HII.
Acha kuwadanganya wenzako na kuwapa moyo wa uongo.NACTE NA TCU BADO WANASHAURIANA KUHUSU HILO. ILA NINA IMANI WATALEGEZA KAMBA NA TAMKO LA KUOMBA VYUO WALE WENYE DIPLOMA KWENDA DGREE LITATOKA WIKI HII.
NTAKUTAFUTA SOON ALAF UTAJUA UWONGO WANGU.Acha kuwadanganya wenzako na kuwapa moyo wa uongo.
Waambie ukwel tu
Ngoja tuoneNTAKUTAFUTA SOON ALAF UTAJUA UWONGO WANGU.
Kiukweli wanakera sanaInaonekana wamesoma lakini hawajaelimika kabisa.....upo sahihi kaka,haswa humu JF wasomi wengi miyeyusho,elimu zao hazina athari katika kuchanganua lipi neno zuri na baya kwa kuongea na wenzao,wengi wanamajibu ya kuropoka na kukurupuka alafu wanajiona wasomi.
Toa mwongozoMlikuwa mnapata D tatu mnakimbilia chuo ndio mkome sasa.
Kwan walio pata 3. 5 unafikir hawakupata D 3 form4?Mlikuwa mnapata D tatu mnakimbilia chuo ndio mkome sasa.
Nyie mtabaki hapohapo sababu kada ya kati haina watu,hakuna namnaHabari
Ninaomba kufahamishwa kama serikali imetoa muongozo wa hatima ya wale waliosoma stashahada (diploma) na wakapata GPA ya 3.4 kushuka chini..... yaani Lower second (achana na pass).
Muda unakimbia kwa kasi sana na ingepaswa hili litolewe muongozo. Tafadhali kwa anayefahamu......
Ahsante
Siku hiz hakuna adv diplomaNadhan ukiwa na below 3.5 yakupasa usomee advanced diploma