Kila ninapoisoma hii thread nikifika katikati macho yanafifia! Aaagh;jamani! Nimeacha wapi miwani yangu?
bora ulivyonisaidia mamito yaani tofauti kama nakumbuka huyo walikuwa wanatoka kwenye sherehe huyu kazini ila maudhui ni moja,....
Mi nikisema wanaume hakuna watu wanabisha ona sasa eti huyu nae ni baba????
wana mmu habari zenu? Nianze kwa kuwatakia heri na fanaka katika mwaka mpya wa 2013. Hili ninaloliandika limemtokea jirani yangu, ambaye pia tuna mahusiano ya kiofisi zaidi - niliwafanyia kazi fulani ofisini kwao hivyo tukajenga mawasiliano ya kikazi, na kwa vile ni majirani basi kukawa na kaukaribu fulani hivi. Juzi nikapata taarifa kwamba amelazwa hospitali anaumwa. Kiungwana nikaenda kumjulia hali hospitali; si nikamuuliza nini kinamsumbua, lol alichonijibu ndiyo kilichosababisha nianzishe huu uzi. Siku ya tukio bidada aliondoka asubuhi kwenda kazini kama kawaida yake, huwa anawahi kutoka kabla ya mumewe ambaye ofisi yake ipo karibu zaidi na nyumbani. Muda wa saa nane hivi akalazimika kurudi nyumbani kwa kuwa alikuwa hajisikii vizuri akahitaji kupumzika (kawaida hutoka kazini saa 11 na kufika home around saa 12). Anasema alipokaribia mlango wa mbele wa nyumba yao akawa anasikia sauti za miguno ambazo si za kawaida, akaingia kupitia jikoni, akamuuliza housegirl ni nini hicho nakisikia, binti anamtolea macho tu bila kumjibu. Kumbe binti alikuwa anajua kinachoendelea ila akashindwa amwambieje boss wake! Kuingia chumbani alichokikuta hakukiamini, anamwona mumewe ameinamishwa analawitiwa na rafiki wa mumewe ambaye anamfahamu vizuri na kumheshimu kama shemeji! Akazirai hapohapo, kushtuka ndio anajikuta yupo hospitali. Huyu dada yupo kwenye ndoa na mumewe kwa miaka tisa sasa na wana watoto wawili. Anasema hakuwahi hata kuhisi kama mumewe ni shoga. Hana hamu tena kuendelea na ndoa. Ushauri wenu wana mmu tafadhali dada afanyeje? Ndio ameshamkuta mumewe akiliwa na mwanaume mwingine, tena chumbani kwao, juu ya kitanda chao anacholala yeye na mumewe! Tena mume mtu ndio kanogewa na anatoa miguno na sauti za mahaba!
mwanamke staha dada. hata umekereka weka tafsida :evil:mkuu mume akito.....
kamanda naikiandika hapa nitajaza pages kwa pages jinsi ambavyo dhambi hii inaleta uharibifu na ndio maana ni vyema mtu ukakunja goti ili kuilinda familia yako na haya.
watu wanazirai kirahisi hivi!!....! Akazirai hapohapo, ....
Dah!Nimesahau hata nilichotaka kusema.
"
Ngoja nitajua tu!
mungu wangu!!! Hyo mwanaume mpemba au wa tanga?
Katika mapunga wengi wasioonyesha dalili huku wanaliwa ni wachaga
Kuna samson
James
Charle
Frank
Dennis
Hao ni baadhi tu ya mashoga wa siku nyingi sana kino ninaowafahamu na inawezekana watu km hao wakioa kuendelea kumegwa kisirisiri
kaka mimi nilimshuhudia mdada wa kiarabu alimfumania mkaka wa kiswahili guest maana aliambiwa akawa hakubali cku ya cku wakamlengesha wenzake kamkuta mpnz wake laivu analawitiwa mdada alilia mpaka basi huyo mvulana shule aliacha kwa aibu na yupo m baba wakihindi arusha anapaki stendi mida ya jioni anawachukua vijana anampa elfu hamsini hadi laki akampakue ndio asimamishe akampande mkewe home kaka wapo watu wa aina hiyo na hawendi guest kuogopa kujulikana kwani midume na heshima zenu mnaingia guest wawili kufanya nn mnajifungia humo mkimaliza mnaoga mtajulikana haraka ila nyumbani ni ngumu kujulikana that's why hufanya uchafu wao majumbani cku hiziMimi nina mtazamo tofauti kabisa,inawezekana ikawa kweli,mi nahisi hii IMETUNGWA KWA MANTIKI FULANI vizuri hii HADITHI,kweli Wapo wanaume wanaoshikishwa ukuta bt mi machale yamenicheza jinsi tu ilivyoandikwa,jamani watu hao wapo,bt kamwe hawawezi kufanya ndani ya nyumba na Housegirl akiwepo,labda awe ametembea na mke wa mtu halafu jamaa wakaja home na mabaunsa/risasi ndo tukio lifanyike,Yofauti na hapo NAKUKATALIA UBONGO WANGU HAUAMINI KABISA,Mashoga wanafahamika bt mtu atuambie nani kawaona wanafanya ktk mazingira hayo?tena waliooa?Haiingi akilini,
Huu ni mtazamo wangu hata kama ni notes mi huwa simezi tuu,nahoji alienipa notes.
Tena inaonekana sio shoga anaejulikana kwa mujibu wa mwandishi,kwasababu mke alizirai,so kwanini alizirahi kwasababu hakutegemea,sasa iweje mtu anaefanya hayo mambo aje afanye nyumbani? logic?
Hapo hakuna siri tena believe me kabla hajaolewa hiyo siri ilikua nje tayari mahouse girl wangapi ameishi nao huyo mama hata afikirie ni siri hao mabeki tatu wametoa hizo siri siku nyingi mno na nn kili mrudisha nyumbani mapema what ever she will decide she is right ila namuomba asijiue kwani watoto wanamtegemea. Pili awaone washauri wa saikolojia wamsaidie. Kwani hiyo picha haitafutika maisha ktk akili yake duuuu mungu amsaidie sana yani yupo kwenye wakati mgumu mno rafiki yangu alimfuma mume wake akipiga punyeto hajasahau hadi leo na nimiaka miwili iliyopita sembuse huyo
mwanamke staha dada. hata umekereka weka tafsida :evil: