Hatari: Mke amfumania mumewe akilawitiwa!

Hatari: Mke amfumania mumewe akilawitiwa!

Nasema

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
556
Reaction score
345
Wana MMU habari zenu?

Nianze kwa kuwatakia heri na fanaka katika mwaka mpya wa 2013.

Hili ninaloliandika limemtokea jirani yangu, ambaye pia tuna mahusiano ya kiofisi zaidi - niliwafanyia kazi fulani ofisini kwao hivyo tukajenga mawasiliano ya kikazi, na kwa vile ni majirani basi kukawa na kaukaribu fulani hivi.

Juzi nikapata taarifa kwamba amelazwa hospitali anaumwa. Kiungwana nikaenda kumjulia hali hospitali; si nikamuuliza nini kinamsumbua, lol alichonijibu ndiyo kilichosababisha nianzishe huu uzi.

Siku ya tukio bidada aliondoka asubuhi kwenda kazini kama kawaida yake, huwa anawahi kutoka kabla ya mumewe ambaye ofisi yake ipo karibu zaidi na nyumbani. Muda wa saa nane hivi akalazimika kurudi nyumbani kwa kuwa alikuwa hajisikii vizuri akahitaji kupumzika (kawaida hutoka kazini saa 11 na kufika home around saa 12). Anasema alipokaribia mlango wa mbele wa nyumba yao akawa anasikia sauti za miguno ambazo si za kawaida, akaingia kupitia jikoni, akamuuliza housegirl ni nini hicho nakisikia, binti anamtolea macho tu bila kumjibu. Kumbe binti alikuwa anajua kinachoendelea ila akashindwa amwambieje boss wake!

Kuingia chumbani alichokikuta hakukiamini, anamwona mumewe ameinamishwa analawitiwa na rafiki wa mumewe ambaye anamfahamu vizuri na kumheshimu kama shemeji! Akazirai hapohapo, kushtuka ndio anajikuta yupo hospitali.

Huyu dada yupo kwenye ndoa na mumewe kwa miaka tisa sasa na wana watoto wawili. Anasema hakuwahi hata kuhisi kama mumewe ni shoga. Hana hamu tena kuendelea na ndoa.

Ushauri wenu wana MMU tafadhali dada afanyeje? Ndio ameshamkuta mumewe akiliwa na mwanaume mwingine, tena chumbani kwao, juu ya kitanda chao anacholala yeye na mumewe! Tena mume mtu ndio kanogewa na anatoa miguno na sauti za mahaba!
 
Mmmmh nitakuja baadaye nilikuwa napita tu nikale kwanza
 
Aisee ni hatari sana, nilivyoanza kusoma nilidhani jamaa kafumwa na beki tatu, lakini kama ndo hivi bora nika ekimya sina comment hapo, nitakuwa msomaji tu.
 
Kumbe hii mambo ipo mimi nafikiri ni hadithi tu za magazeti.Mpe pole ni majaribu ya dunia.Aendele na ndoa yake
 
mmh aisee kuna mitihani mingine maishani ni migumu jamani, mwee uzinzi si mzuri lakini kheri angemfumania na mwanamke sasa mume shoga tena, Mungu wangu, kwakweli hapo ni Mungu tu
 
Kila ninapoisoma hii thread nikifika katikati macho yanafifia! Aaagh;jamani! Nimeacha wapi miwani yangu?
 
Mungu wangu!kumbe ni kweli jamani! Watu wanaliwa! Huyo mama anaitaji mawazo ya kina hilo ni doa ndani ya familia, Lakini Mungu ni jibu la yote!
 
Amuombe mungu atampa njia ya kupita katika hili lakini ni bora waachane kwani ni kosa ambalo hata mungu mwenyewe anachukizwa nalo sana.
 
mhhhh i can say maamuzi yangu huwa ni magumu sana na hayageuzwi na yeyote hata ni askofu au mchungaji sina imani na binadamu yyte katika kunishauri au kunifanyia lolote ningekuwa mimi aisee ningefanya maamuzi magumu
 
hahahha kwanza huyo mke nae ----- kweli kweli...anakwambia wee jirani wake ili iweje? hafai kabisa
 
mhhhh i can say maamuzi yangu huwa ni magumu sana na hayageuzwi na yeyote hata ni askofu au mchungaji sina imani na binadamu yyte katika kunishauri au kunifanyia lolote ningekuwa mimi aisee ningefanya maamuzi magumu

Kama yapi mdau hili swala ni zito jamani tusikiea tu kwa jirani!
 
hapo inabidi umshauri huyo mke wake asimuache bali ampeleke hospital akafanyiwe operation wanaita kupigwa bomba yaani unatolewa ile ngozi ya juu ya sehemu ya haja kubwa sababu sperm hua zinasababisha muasho sehemu za haja kubwa na ili ujisckie fresh ni lazime utafte mtu ale tigo yako na kadri unavyoliwa tigo ndio sperm zinazidi kukaa sehemu hiyo na huo mchezo huwezi acha mpaka operation ndo mana wanawake wanaotoa tigo hua hawaachi na hua wanapenda sana kutoa tigo kuliko sehemu husika na kwa mwanaume ni hivyo hivyo ....njia pekee ya kumnusuru ni kumpeleka kwa docta then mtajua mfanyeje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom