Hatari: Mke amfumania mumewe akilawitiwa!

Hatari: Mke amfumania mumewe akilawitiwa!

mhhh yaniiii kwanza nimediiis kisha imelala mazima!!!!akili yangu imejam kwa kweli .dada wewe rudi kwenu kwa amani
 
jamani mimi namhurumia mama mzazi wa mume wake maana cjui kama alikuwa anajua mwanae ni ....

mpe pole bibie na amuombe Mungu sana ampe uvumilivu kwenye ndoa yao wasonge mbele.
 
Ndoa Ni zaidi ya mtihani ila Mungu akiwa upande wako hakuna litakaloshindikana. Amuombe Mungu ampe ujasiri amsamehe mume wake na amsaidie jinsi ya kuacha maana huo Ni msalaba wake na Kila mtu amepewa kwa kiwango chake na Mungu anaweza msaidia. Asitafakari jamiii itamsemaje Amuombe Mungu kwani huyo ndo mume wake.
Awaaangalie watu waliozeeka pamoja wamepitia mengi.

Uwiii Ndoa Ni kumuomba Mungu aiseeee hivihivi peke yetu hatuwezi. Nachukua nafasi yake ningekuwa mm sijui tu Mungu atusaidie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom